Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huwez kumfananisha DAYOT na rugan

Dayot kamzid mbali Rugani , unadhan wajinga Leipzig Kuwaeekea release clause £100m yeye na Konate?

Rugan hajaprove uwezo wake hapo juve kwa kukosa namba ,

Mkuu ulitaka acheze mbele ya Bonuci na Chielini?

na hiyo 100 clause iskushtue mkuu. Keita wamemuuza kwa hela ndefu na bado hana namba ya kudumu Liverpool. hao wapo kibiashara wapo kwenye mawindo ya kubambikwa mtu tu.
 
huyo Upamecano ni mchezaji wakawaida mno. Ni debe kubwa kwa kua ni mfaransa. Na pesa ni nyingi sana wanazotaka. Rugani anaweza sajiliwa kwa nusu yake tu. Na ana potantial kubwa ya kuwa Big player. Mana ni very talented defender alichokosa ni uzoefu tu mpaka sasa.
Acha masihara basi umemcheki Upamecano youtube au unaongea tu.
 
Labda nasisi tutafrahi mwaka huu

Kila mwaka machungu.... du.
Kwa kweli aiseee. I know one of my friend alihama arsenal nkaenda city because of stresses, nlimwambia hiki ni kipindi cha mpito tu, utarudi one day.

COYG
 
Arsenal not out of the race for Wilfried Zaha. If they can sell Alex Iwobi for around £40million, this is a real possibility. Unlikely, but possible. #AFC
 
When Kieran Tierney signs today he will be the first ever Scottish player to play for Arsenal
 
Haaahaaha jamaa acha mbwembwe mkuu AROON
Niache uongo Mimi ni fan mkubwa wa kutupwa wa Wilfred zaha ,toka enzi hizo Wenger anamuhitaji ,anamkosa anaelekea man u,

Anarud palace anauwasha , Aisee Zaha nitafurahi siku akivaa Uzi wa Gunnerz ,

Kwa heshima yake akija nitaomba nipigwe Ban ya siku 2
 
David Luiz

" I know very well Emery. He is a great manager and tactician. When the opportunity came to play for him again I couldn't say no. And its always been my dream to play for the Arsenal. A club with so much history"
 
|| David Luiz update || It appears the fee for Luiz is actually €8m, not £8m (so £7.3m).
 
Galatasaray are in talks with Arsenal over Mohamed Elneny. Lions official Şükrü Hanedar has been in London over the past few days for several meetings. Arsenal are open to a move but Elneny has 3-years on his contract and Arsenal won't let him go on the cheap. GS push for a loan
 
It’s done boys! Welcome to The Arsenal Kieran
IMG_20190808_152834.jpeg
 
Back
Top Bottom