Bora kos6 , na ameomba kusepa , mwaka huu hawez kubaki ,Binafsi hata kuondoka kwa kocienley mi nimfrah nikikumbka alivyotuchoma game ya southmption sitasahau goli zote tatu alituchoma yy
Mkuu kama hujui kitu uliza au kaa kimya, aliyekwambia Arsenal ndio imemrudisha kwa mkopo nani?Wazee wa stress hahaha mpo naona mnasajili bado ila cha ajabu hamna beki halafu mkasajili beki mkamrudisha kwa mkopo. Poor Arsenal fans sijui mnawezaje kushabikia timu isiyokua na mikakati ya ubingwa kama hii.
Anyway nilikua napita kuwapa salamu stress Fc.
Uzuri wa washabiki wa Arsenal mnajua mpira tofauti na wale ma plastic fans kule bwanyenye fc na Chelsea wanaomtegemea Giroud na Tammy Abraham wafunge goli zaidi ya 25 msimu huu kitu ambacho ni sawa na kumlisha mtoto mchanga makukuru.
Upo Ndugu yangu Eli79 umeadimika sana,Mustafi out..
Konsienly out...
Another CB is needed coz we need a strong backline. Naamini Holding akirudi, pamoja na uwepo wa Sokratis tutakuwa na beki nzuri, ila for a healthy competition tunataka top notch defender.
Nacho is getting old so Sead needs a backup, or even someone to compete with, on the right side I think Hector is strong enough to take charge, but another RB is needed to compete with him, I don't see Chambers as a permanent solution.
Huko mbele mimi sina shida sana, japo naona Mesut ameshachoka.


|| Reports indicate that Juve would consider letting Daniele Rugani go. They value the player at around €40m (£36m), Arsenal are considering the option of a loan (possibly with obligation). All apparently depends on Chiellini who's already starting the season injured.
French journalist Gilles Favard on Pépé: