Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Jorge's MENDES ndiye wakala wa Ruben Diaz

Jorge's Mendez kwasasa anafanya kazi na Arsenal kwenye baadhi ya dili ....

IMG-20190728-WA0024.jpeg
 
Jorge's MENDES ndiye wakala wa Ruben Diaz

Jorge's Mendez kwasasa anafanya kazi na Arsenal kwenye baadhi ya dili ....

View attachment 1165570
Mkuu hiki ndio kilichomuondoa sven, baada ya kuondoka Gazdis uongozi mpya ukaleta utaratibu wao wa kufanya kazi na maagent, yeye alisema arsenal inamiliki kampuni ya data analysis hivyo hakupenda negotiations za kutumia agents, vp maoni yko mkuu AROON unasimamia wapi upande wa sven, au sanllehi?
 
Kufuatia dili la Pepe kuwa ni Kubwa (£80m) si rahisi kwa Arsenal kusajili tena Mchezaji wa more than £50m+ kwa dirisha hili.

NI kweli ila Arsenal pia wanatafuta CB na huyo nimmojawapo wa wawili.

Mwingine ni Daniel Rugani mkoba wa Juventus.

Roma nao wanamtaka na Arenal wanataka kufanya miaka miwili ya mkopo wenye thamani ya pauni milioni 36.

Arsenal sasa hivi wacheza na mikopo tu hadi kieleweke hiyo ndo biashara.
 
Image:

Arsenal head of football Raul Sanllehi with football agent Jorge Mendes, who has reportedly been working on Arsenal’s behalf to secure the signing of Nicolas Pepe, at the Emirates Stadium todayView attachment 1165533

Huyo Mendes aitwa Super Agent.

Akiketi chini na mchezaji hata iweje ni lazima ushswishi wake uwe vigumu kukataa.
 
Sanllehi ni mfanyabishara na anafahamu masuala ya kufanya deals tangu akiwa Barcelona.

Hivyo Sanllehi anakuwa juu yaani anafanya usajili wa akili na utaalam zaidi kwa kushirikiana na mawakala ambao ndio wenye nguvu ya ushawishi.

Kama wamkumbuka David Dean ambae ndye aliwaleta Nicholas Anelka, Thiery Henry, Patrick Vieira, Marc Overmars, Silvian Wiltord, Jose Antonio-Reyes na Denis Bergkamp.

Basi ndivyo afanyavyo Sanllehi kwa sasa.
 
Mkuu hiki ndio kilichomuondoa sven, baada ya kuondoka Gazdis uongozi mpya ukaleta utaratibu wao wa kufanya kazi na maagent, yeye alisema arsenal inamiliki kampuni ya data analysis hivyo hakupenda negotiations za kutumia agents, vp maoni yko mkuu AROON unasimamia wapi upande wa sven, au sanllehi?
Kwanza upo sahihi , timu ilikuwa haifanyi kazi na maagent ,hili lilikuwa tatizo kupata Top players,

Sven anadai hakupewa power kwenye maswala ya usajiri ni kama Emery na Raul walikuwa hawampi ushirikiano ,

Ila na appreciate uwezo na jicho la kuona vipaji la SVEN,

Gazid alitaka kuharibu klabu na matatizo yote ya klabu ana husika kwa sehemu Fulani,

Kuanza kuwatumia mawakala ni moja wapo ya Sera nzuri ambayo haikuwa sera ya Arsenal, hivo itasaidia

Raul ni master mzuri wa fitna

Hussy fahmy Chief negotiator ni mtaalamu wa kuandaa structure za Installment

Kuna Edu , huyu kazi yake ni kusaka vipaji Hasa Brazil,

Hivo uwepo wa hii Management mpya na project yao Ni Mwanzo mzuri ,baada ya project ya kina Gazid na genge lake kufeli.

Kitu kingine baada ya FAMILIA YA STAN KREONKE kupata full ownership ya 100% Arsenal ,titarajie wakiwekeza hata kama ni kidogo , maana hawa kuwa wakimiliki his a zote ,

Kule USA ana timu yake ambayo anaimilik kwa 100% ,mwaka Jana aliwekeza £1.5billion ,

Hivo KREONKE SPORT INVESTMENT(KSE) kwasasa wamejinasibu kuwa wana nia njema na watawekeza ,

Tusubiri tuone
 
Mkuu nafikiri wamwongelea Arsene Wenger na sio Sven au?
 
Sanllehi ni mfanyabishara na anafahamu masuala ya kufanya deals tangu akiwa Barcelona.

Hivyo Sanllehi anakuwa juu yaani anafanya usajili wa akili na utaalam zaidi kwa kushirikiana na mawakala ambao ndio wenye nguvu ya ushawishi.

Kama wamkumbuka David Dean ambae ndye aliwaleta Nicholas Anelka, Thiery henry, Patrick Vieira, Marc Overmars, Silvian Wiltord na Denis Bergkamp.

Basi ndivyo afanyavyo Sanllehi kwa sasa.
Namkumbuka David Dein ,dah alikuwa ana damu ya Arsenal huyu Mtu, anaondoka Arsenal tunaanza kupata tabu,

Sitamsahau David Dein ,
 
Mkuu nafikiri wamwongelea Arsene Wenger na sio Sven au?
SVEN kaja miez 6 kabla Wenger hajasepa , Sven ameshindwa kufanya kaz na kina emery ,Raul na vinai yule muhind ,kisa Hawaelewani

Ila huyu huyu Sven ndiye aliyemleta lt11, ndiye aliyemleta na Mateo ,na Leno, na ndiye aliwaambia arsenal wamchukue Nicolas PEPE, kipind anauzwa £40m ikashindikana
 
William Saliba akipiga zoezi kuangaliwa viwango kwenye viwanja vya mazoezi vya Arsenal viitwavyo Colney mjini London.

1564322278635.png

1564322404659.png

William Saliba akiwa na mwalimu wa mazoezi Sam Wilson.

1564322556817.png

1564322598158.png
 
Usajili News: PSG waingilia usajili wa Nicolas Pepe kwenda Arsenal, waweka dau kubwa zaidi dakika za mwisho!!

Tuombe Mungu.
 
Daah!...... Mbona wanataka kutuharibia hawa!

Ni kawaida timu moja kuingilia mazungumzo baina ya mchezaji na timu tarajiwa lakini hiyo huwa ahimaanishai kwamba watamvuruga kabisa, ingawa PSG wana pesa.

Pepe yuko vekesheni na anamaliza kesho kisha medical imepangwa na Arsenal na kufikia ijumaa atatangazwa kuwa mchezaji wa Arsenal.
 
Tunahitaji CB wa kueleweka kuweza kujihakikishia top 4 msimu huu. Hawa akina Chambers, Mustafi wanafanya makosa yanayotugharimu points muhimu sana.
 
Arsenal are working to complete Pépé deal with player agents about his contract. Total agreement with Lille as said yesterday. #AFC #Arsenal #transfers #Pépé
Screenshot_2019-07-28-18-19-31.jpeg
 
Arsenal are reportedly considering turning to Juventus star Daniele Rugani to solve a potential centre back conundrum.

The Gunners appear to be going into the new Premier League season light on defensive options, with Laurent Koscielny attempting to plot a move away from the Emirates and Rob Holding set to miss the early portion of the season.

Therefore, according to Corriere Torino, the Gunners are having a look at Italian Rugani. The 24-year-old made 20 appearances for Juve last season but appears unlikely to be a regular in Turin due to the signing of Dutch wonder kid Matthijs de Ligt, who arrived from Ajax.
 
Back
Top Bottom