Richard
Platinum Member
- Oct 23, 2006
- 16,636
- 25,617
Usajili News: Arsenal wanamfukukia beki wa kati aka mkoba, aitwae Ruben Diaz.
Hakika ikiwa kweli habari zipo basi Arsenal inaelekea kuwa moto.
Jamani fualtileni mechi ya Holland na Porugal iitwayo Nations Cup ilochezwa mwezi ulopita na muangalie wenyewe kazi za huyu mkoba au skipper, wa timu ya Benfica ya Portugal.
Mustafi na Laurent Koscielny out!!
Naongeza idadi ya jezi ya ugenini na nyumbani muda si mrefu.
Diaz ana umri wa miaka 22 na ana release clause ya pauni milioni 67.
Kwa hakika ni top gun , go Arsenal and Kroenke go and get him.