Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwa mujibu wa emery alisema kuna mchezaji mmoja wa gharama tutamnunua,

Ukiangalia Target namba 1 ya Arsenal ni Zaha ,

Everton ni plan B ,

Na taarifa kutoka Brazil zinasema Anasheshughulikia hilo swala ni Edu, so kwanini useme tutashindwa kutoa hiyo hela japo Bei yake haiwekwi wazi sana maana anamilikiwa na Pande 3 , ambapo Gremio wanahitaji €35m , na ndio wanamiliki kwa 50%,

Arsenal wanajiandaa kupeleka 55+one player for loan kwa palace , So ikishindikana basi tegemea Plan B ambaye ni Everton .

Tusubiri tuone
Sasa kama Germio ambao wanamiliki 50% wanataka hiyo €35M huoni itahitajika si chini ya €70M kumpata huyo Everton?
Hii inshu bado tete sana.

Pia defense yetu bado ni mbovu, msimu uliopita tulifungwa magoli mengi ya uzembe wa hali ya juu. Tunatakiwa kupata CB mzuri aliye kiongozi ili kutuliza ukuta. Hawa defender wa miaka 18 wengi bado hawaja-mature(ondoa ref.ya de light).
 
Wenger alikua anajua sn kupossess mpira ilimsaidia kupunguza mashambulizi ya wapinzani ,

Unai msimu uliopita ilikua majanga mechi za mwisho leicester, wolves,walitusaka sn coz alishindwa kabisa kupossess, kila baada ya dakika 5 jamaa wanapiga attack golini kwetu,unachek game paka unapata hasira mpira ukienda kwao dk moja tu wanakuja tena.

maybe akifanikiwa kumpata zaha na ceballos anaweza sort defense kwa mbinu ya kuoffense sn kumnyima mpinzani uhuru wa kupandisha timu.
 
Sasa kama Germio ambao wanamiliki 50% wanataka hiyo €35M huoni itahitajika si chini ya €70M kumpata huyo Everton?
Hii inshu bado tete sana.

Pia defense yetu bado ni mbovu, msimu uliopita tulifungwa magoli mengi ya uzembe wa hali ya juu. Tunatakiwa kupata CB mzuri aliye kiongozi ili kutuliza ukuta. Hawa defender wa miaka 18 wengi bado hawaja-mature(ondoa ref.ya de light).
benjamin pavard,john stones,holdings
 
Chambers could be kept at Arsenal this summer but Arsenal still looking for a senior CB. (Mirror)
 
Kwa mujibu wa emery alisema kuna mchezaji mmoja wa gharama tutamnunua,

Ukiangalia Target namba 1 ya Arsenal ni Zaha ,

Everton ni plan B ,

Na taarifa kutoka Brazil zinasema Anasheshughulikia hilo swala ni Edu, so kwanini useme tutashindwa kutoa hiyo hela japo Bei yake haiwekwi wazi sana maana anamilikiwa na Pande 3 , ambapo Gremio wanahitaji €35m , na ndio wanamiliki kwa 50%,

Arsenal wanajiandaa kupeleka 55+one player for loan kwa palace , So ikishindikana basi tegemea Plan B ambaye ni Everton .

Tusubiri tuone

Aroon tunabeki mbovu mbovu kabisa, kwanini hatuweki mkazo kwenye beki tunahangaika sana na huyo Zaha na Evaton??!! Tunajua hatuna beki na tunahitaji beki lakini tuko busy na Zaha!?!!
 
Aroon tunabeki mbovu mbovu kabisa, kwanini hatuweki mkazo kwenye beki tunahangaika sana na huyo Zaha na Evaton??!! Tunajua hatuna beki na tunahitaji beki lakini tuko busy na Zaha!?!!
Upo sahihi ndugu yangu ,tuna beki mbovu , lakin tutaletaje CB kama 3 bila kuondoa waliopo?

Emery ameahid kushughulikia beki, cos 6 anasepa ,hii inaweza kuwa njia yakuongeza CB mmoja, Inabid tuimarishe pia offensive , ili kupunguza kushambuliwa sana,

Naiman baada ya madirisha mawil ,beki itakuwa mpaya kabisa , cos6 ,mustafi wanaondoka ,muda wao umefikia mwisho hapo Arsenal,

Kama umefatilia tour za Arsenal utagundua emery amejiandaa kutumia mabeki watatu ktk mfumo wa 3-4-3/3-5-5/3-4-1-2
Hii inamaana tutakuwa tunatumia CB mbili ambazo ni sokratis na mustafi/chamber

Kabla Holding na belle hawajarud na kurejea kwenye mfumo wa mabeki wa 4.

Swala la kununua beki haliepukiki, tunahitaji CB ,NA LB haraka sana ,lkn hatuwez kununua bila kuondoa waliopo ,
 
The sale of Vazquez to Unai Emery’s side has now stopped due to Asensio's injury. Arsenal will have to look elsewhere. [@diarioas]
 
Ceballos has already signed for Arsenal, and the deal will be made official at any time soon. Unai Emery's intervention was decisive for the player decide to sign for the Arsenal

Ceballos has already signed for Arsenal, and the deal will be made official at any time soon. Unai Emery's intervention was decisive for the player decide to sign for the Arsenal

Safi sana
 
Ceballos: I get on really well with Hector away from football, on a personal level. I told him I was thinking of joining and he told me not to think twice because this is a great city and a great club and that I was going to have a great time.View attachment 1162492
Screenshot_2019-07-25-16-59-39.jpeg
 
Aroon tunabeki mbovu mbovu kabisa, kwanini hatuweki mkazo kwenye beki tunahangaika sana na huyo Zaha na Evaton??!! Tunajua hatuna beki na tunahitaji beki lakini tuko busy na Zaha!?!!
Sokratis on centre-back options:

“We’ll see how it’s going because we wait with Rob Holding coming back & Dinos is much better because he is ready to join with the team in training. I hope the situation [with Koscielny] is resolved & we’ll see if we need something more or not.”

Sokratis on Koscielny: “The situation with Lolo is a bit difficult & is between the club & him, but Lolo is a player who everyone has to respect for what he gave to the club over the years. He is the captain.” #afc
 
Ceballos on why he picked Arsenal ahead of others:

"I knew I had the confidence of the coach, which was very important for me from the start. I was aware of the responsibility that wearing this shirt entails and it was a tremendously proud moment when I decided to join." #afcView attachment 1162506
IMG-20190725-WA0011.jpeg
IMG-20190725-WA0010.jpeg
 
Ceballos on Arsenal youngsters:

"I watched the pre-season games against Fiorentina & Bayern and we have lots of young players and players who already have a lot of experience. There is a good level so I’m looking forward to linking up with my team-mates & settling in ASAP." #afc
 
Ceballos on Bellerin:

"I get on really well with Hector away from football, on a personal level. I told him I was thinking of joining & he told me not to think twice because this is a great city & a great club & that I was going to have a great time" #Arsenal https://t.co/20HeB7FMCg
IMG_20190725_171212.jpeg
 
Arsenal fans are in for a treat.

Dani Ceballos is a beast and an absolute game changer. They have lacked a midfielder with such technical abilities since the time Cazorla left. Can break opposition lines through passing and dribbling and has an eye for goal. Spanish magicia!
 
Unai Emery on Dani Ceballos: "We’re excited to see Dani join us. He is a talented player with big technical ability, creativity & precision" #Arsenal
IMG_20190725_171638.jpeg
 
Back
Top Bottom