
https://t.co/HLfHWexGcT
Mkuu wenye mchezaji wametaka hivo, ni mashart yao utawakatalia?Nothing to celebrate, buying a player and then loan him to another team!!!
Labda aje kutokana na influence ya Edu ila sioni kwa sababu zipi zitakazomvutia Everton kuichagua Arsenal.We want Zaha so badly that if Everton sign him, we sign Everton.View attachment 1161747
Ndio muda muafaka wa yeye kwenda ulaya, na anahitaji nafasi ya kuchezaLabda aje kutokana na influence ya Edu ila sioni kwa sababu zipi zitakazomvutia Everton kuichagua Arsenal.
Umeiona bei yake lakini!, huyu atagharimu zaidi ya €60M je tutaweza?Ndio muda muafaka wa yeye kwenda ulaya, na anahitaji nafasi ya kucheza
Kwa mujibu wa emery alisema kuna mchezaji mmoja wa gharama tutamnunua,Umeiona bei yake lakini!, huyu atagharimu zaidi ya €60M je tutaweza?