Saa nyingine huwa nahisi kama uwezo wa Wenger ushakuwa obsolete. Labda ndo maana tunaumia!
Duh, mbona kuna uhaba wa picha humu? Lakini kule Stamford Bridge mijitu ya kusafisha mizinga kila siku kuja jaza mipicha:becky:
Tupo mstari 1 mkuu, binafsi naona Mannone yupo fiti zaidi ya Fabianski ama hata Almunia, kusema ukweli nafikiri kwenye ligi nzima sisi ndio tunaongoza kwa kipa bomu!! Almunia ametu-cost pointi nyingi misimu kama 2 iliopita, kwa kipa huyu wetu naona ni bora hata tusiweke mtu golini:mad2::mad2:Wenger bado tu hataki kumpa nafasi nyingine Manone ,huyu fabianski nae mchecheto sana golini.Wenger kweli mbahili yani tatizo lakipa kahama nalo toka msimu uliopita.
Mkuu niko njiani sijapata team news nani anaanza beki ya kushoto? ama Gibbs amepona?Nona koscienly,Nasri na Clichy wamepumzishwa kwa ajili ya mechi ya chelsea.Nategemea watu waliopewa nafasi kutumia vizuri nafasi hizo.
Mkuu niko njiani sijapata team news nani anaanza beki ya kushoto? ama Gibbs amepona?
Niliona bandiko lako la team news ila kwa vile natumia mtandao wa simu nilichelewa kuona, BTW tunaongoza bao 1gibbs yupo kushoto.
Naona mmebahatika tayarigibbs yupo kushoto.
ARSHAVIIIIIIIIIIIN goli la kwanza hapa assited by wilshere.
Naona mmebahatika tayari
Naona mmebahatika tayari
tumebahatika sio? lol
Wacha1 said:Sisi huwa tunabahatika tu vipi hutaki? Tunangoja tena jingine la bahati khe khe khe kheeeeeeeeee
Goli la magumashi.
Halafu timu yenyewe mnayocheza nayo ni famba, ina kelele sana kiwango hamna.