joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 18,843
- 39,468
We kwani umemjulia wapi?Tatizo lako moja nishabishana na ww sana,sio kila anayeikosoa timu haipendi timu,kwani timu inaongozwa na watu ambao ni wadhaifu so wanapokesea nitasema najua ulichomaanisha ila hiyo ni typing error na SI IREKEBISHI .Ila wabongo tuna vituko sana,..hahahaah!
Huyo NDOMBELE mwenyewe ukute umemjua baada ya kusajiliwa SPURS.
Kaveh who works for SkySports says that Arsenal can go up to £70m for Wilfried Zaha if they need to. He also says reports of Arsenal only having £45m budget is untrue.
