Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Usajili wetu wa kwanza dirisha hili.
Screenshot_20190702-180923.jpeg
 
Sio iwe hiyo mkuu, hiyo ni ofa ya kwanza, pia kuna uwezekano tukawaunganishia na mchezaji mmoja
Kuna rumours inasemekana Arsenal itapeleka ofa ya € 55ml plus 3 players ambao ni Mohamed Elnery ,Jenkinson na Mustafi hahahahahahahaha
 
Arsenal kama hamna hela ongeeni na Mo Dewji awadhamini,mana naona kila mwaka nyinyi mnasajili kwa bajeti kali
 
We umejuaje ndo bajeti yenyewe?...kwan nyie kule hamumlalamiki Woodward hatoi pesa?? Jibu yote Tafadhali..
Woodward hana weledi na mambo ya mpira anajua biashara zaidi ndio mana sisi tunataka Director Of Football hapo biashara itafanyika na mpira utafanyika. Ingekuwa ni hela asingenunua wachezaji wadogo kama Wan Bisaka kwa £50 mil au kupeleka ofa ya paundi mil 70 kwa mtu kama Maguire
 
Nawasalimu kikundi cha mashabiki na team ambayo haiko na haitakuwa serious muda wote
 
Crystal palace wanahitaji £80 ml kwa Zaha vinginevyo mtafute ustarabu mwingine tu
Mkuu awa wana paund million 40 tu sasa wameamua kuiteketeza yote kwa Zaha lakin CP wanataka 100 hahaha wakitoa yote kwa Zaha mambo yatakuwa magumu..hahaha
 
Wenzetu wananunua bunduki sisi tuna nunua mapanga,alafu ndio tukapambane kuingia top 4 ,acheni masihala spurs pamoja na ubora wao wameshusha Dombele,sisi tunaungaunga .Yaani Arsenal sometimes inakushawishi ujipe likizo ya kuwa mshabiki wa Arsenal aghriiiiiiii.......😤😤😤😤😤😤
 
Wenzetu wananunua bunduki sisi tuna nunua mapanga,alafu ndio tukapambane kuingia top 4 ,acheni masihala spurs pamoja na ubora wao wameshusha Dombele,sisi tunaungaunga .Yaani Arsenal sometimes inakushawishi ujipe likizo ya kuwa mshabiki wa Arsenal aghriiiiiiii.......
Ila wabongo tuna vituko sana,..hahahaah!

Huyo NDOMBELE mwenyewe ukute umemjua baada ya kusajiliwa SPURS.
 
Back
Top Bottom