Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 14,563
- 22,837
Mbona kama unateseka wewe na timu yako mmesajili wangapiBadala ya kusajili beki mnajifanya mnaweza Kumnunua Forward ambae hata goli 10 hawezi kwa £70 million
Mbona kama unateseka wewe na timu yako mmesajili wangapiBadala ya kusajili beki mnajifanya mnaweza Kumnunua Forward ambae hata goli 10 hawezi kwa £70 million
Mbona kama unateseka wewe na timu yako mmesajili wangapi
Mzee hatuna winger tulionao hawa kina iwobi....beki tutasajili tu dirisha mbona bado..
Huyu zaha akija lazima atafunga zaidi ya goli kumi...
Mbona dili za mabeki zipo ongoing ,
Saliba as CB , Tierney as LFB,
Umetumia kigezo gan kusema hatusajiri beki?
Hao wawili ni strikers labda ufosi kuwatumia pembeni na penyewe hawatakupa ule ubora wao...ozil ndo usitegemee kabisa kwenye wing hata Mick naye ana homa za vipindi japo sio natural winger... Winger EPL hawa hapaSasa si bora mkaanzia nyuma kule sababu Forward iliopo ina unafuu kulinganisha na beki
Wapo Ozil,Lacazette,Aubameyang na Mikhtaryan hao wote inawezekana kabisa kuwaweka Winga
Aisee huyo dogo aje tu nakumbuka ile mechi na man city uefa 3-3 aliupiga mwingi alipiga bao hilo 😂😂cjui ndo yyCelctic wameshaleta mbadala wa yule dogo, dili litakamilika siku chache , Saliba pia ,
Ila emery ameweka msisitizo anamuhitaji Zaha, Leo imetumwa ofa nyingine nasikia ina installment,
Zimevunja record ya jezi zote mkuuAdidas are reporting record sales in the 24hrs after the kit release for Arsenal’s new home kit #AFC #Adidas #DareToCreate https://t.co/Vqq1hcOeAZView attachment 1146515
Yah jezi adidas wameuza sana wiki hii,Zimevunja record ya jezi zote mkuu
Umemueleza vzr kabisa, na ndio maana emery amekomaa na bodi kuhusu Zaha kwanza ,Hao wawili ni strikers labda ufosi kuwatumia pembeni na penyewe hawatakupa ule ubora wao...ozil ndo usitegemee kabisa kwenye wing hata Mick naye ana homa za vipindi japo sio natural winger... Winger EPL hawa hapa
Sterling,salah,mane,mahrez,son,William,Pedro, zaha,Fraser....na wengine wachache kama nimewasahau....asenali hakuna wings mkuu.
Uzi umetulia sana