Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Zaha dream's to play Arsenal
IMG-20190701-WA0037.jpeg
 
#AFC | You see, for me, £40m is a reasonable offer for Zaha.

But because of the increase in money within the market nowadays, it won't even be sniffed at...
 
Emery na Mimi tunamuelewa sana Zaha,

Emery juzi kauambia uongozi anamuhitaji zaha,

Leo tumetuma 40 ,

Wanaosema zaha ni watimu ndogo sijawahi kuwaelewa
Mimi ni mmoja wapo japo sisemi ni wa timu ndogo, nasema zaha anahitaji kuongezewa baadhi ya vitu, zaha ni msumbufu ila sio hatari kwenye lango pinzani!

Nadhani unai kuna jambo kaona, na mapungufu ya zaha yanarekebishika..

Kwa iwobi na carrasco bora zaha.
 
Mimi ni mmoja wapo japo sisemi ni wa timu ndogo, nasema zaha anahitaji kuongezewa baadhi ya vitu, zaha ni msumbufu ila sio hatari kwenye lango pinzani!

Nadhani unai kuna jambo kaona, na mapungufu ya zaha yanarekebishika..

Kwa iwobi na carrasco bora zaha.
Tupo pamoja mkuu, hata mm naamini zaha anahitaji kurekebishwa padogo

Ndio maana Emery kakazana na bodi imlete zaha
 
Zaha akitoka afcon anakuja kufanya mgomo baridi

According to @skysports_sheth he was told its "very very unlikely" that Zaha will even train with CPFC ever again. The information he's getting is that Zaha is absolutely set on moving to Arsenal.
#afc
 
#AFC keen on Zaha but any move would depend on the player forcing #CPFC hand; Nabil Fekir has been offered to Arsenal & would cost £30m; club have held talks with Brahimi’s agent over a free transfer; 2 bids rejected for Tierney but deal could be done [via @johncrossmirror]
 
Hao man u wameshikishwa ni kawaida Yao,

Thaman ya zaha ni hiyo hadi 50, halafu zaha mwenyewe ndio anafosi kuja Arsenal manaa ndio klabu anadai anayoishabikia

Hiyo ni first bid , kwahiyo tunawasikiliza wanasemaje ,huku zaha ameshawaambia wamuache aondoke
Bissaka kacheza vizuri msimu mmoja kuondoka kwa £55 ml ......Zaha ana misimu kadhaa Palace na amecheza kwa kiwango cha juu aondoke kwa £ 40 ml ........NGOJA NISUBIRI MAAJABU.
 
Bissaka kacheza vizuri msimu mmoja kuondoka kwa £55 ml ......Zaha ana misimu kadhaa Palace na amecheza kwa kiwango cha juu aondoke kwa £ 40 ml ........NGOJA NISUBIRI MAAJABU.
Mkuu mbona unakomaa jamaa asije wakati ,zaha anafosi mwenyewe , na bei halis ya zaha ni 40-55,
 
Saa nyingine nyie arsenal utani mnaouletaga kwenye pesa za usajili ndio unasababisha wachezaji waamue mengine,hata Kama zaha sio mchezaji wa kiwango Cha hao mnaowaona Bora ila hiyo pesa mnayotaka kulipa Ni ndogo Sana kuweni serious kidogo...mnarudia yaleyale ya Suarez kutaka kutoa 40m +1...na mkizingua huyo mchezaji mtaishia kusema anaishabikia tu arsenal wenye mikono mirefu watafanya biashara nae tu....
NB:ZAHA SIO MCHEZAJI WA KIWANGO KIDOGO KAMA TUNAVYOAMINISHANA NI MCHEZAJI MZURI SANA AKIPATA TIMU YENYE WACHEZAJI WENYE UWEZO KAMA WAKE MTAKUJA FUKUA HII COMMENT..UWEZI KUWA NA TAIRI MOJA ZURI,MATATU VIPARA HALAFU UTEGEMEE GARI KUTULIA BARABARANI NI NDOTO.
 
Emery na Mimi tunamuelewa sana Zaha,

Emery juzi kauambia uongozi anamuhitaji zaha,

Leo tumetuma 40 ,

Wanaosema zaha ni watimu ndogo sijawahi kuwaelewa
Zaha ni bonge la mchezaji, wacha wajidanganye eti mchezaji wa timu ndogo, yule akisajiliwa Arsenal atashine sana thn atakakua kipenzi cha mashabiki zaidi hata ya laca na Auba.
 
Back
Top Bottom