Wewe na miaka yako 18 kiushabiki lakini unaonekana bado Arsenal huijui.Arsenal inatransfer approach yake tofauti na PSG au Madrid, huwezi kulazimisha Arsenal isajili big names wakati transfer policy haipo hivyo.Wewe ndio nani uniambie nihamie PSG au Man City?
Wakati nilivyoichagua Arsenal uliniambia ww?
Natoa mtizamo wangu kama mshabiki wa Arsenal ninaijua Arsenal zaidi ya miaka 18 na napenda timu yangu ifanikiwe so ukitizama uendeshwaji wa usajili kipindi hiki na kipindi cha Wenger tofauti,sasa hivi lazima uweke mzigo wa maana,sisemi tuspend sana lkn atleast zile sehemu zenye mapungufu tutafute wachezaji wa maana.
Hao Arsenal na kadi zao za uwanachama huko London wanalamika kila siku kusajili wachezaji wakawaida,sembuse mie Mbonde wa huku kusini mwa jangwa la sahara ambaye sina kadi,au uonagi mibango ile anayo onyeshewa Kronke.
Club ina hela na inatengeneza mpunga mrefu kila msimu,lkn kwenye usajili tunataka vitonga.Huo ndio ukweli wenyewe kama hatusajili watu wa maana hata top 6 tutaisahahu na tutazidi kuumia.So huu ni mtizamo wangu.
Yaani wewe bwana Mbonde kutoka huku kusini mwa jangwa la Sahara ndio mwelewa kuliko hao mashabiki wa Arsenal ya London mbona unachekesha ww,unajifanya kuijua club kuliko hao wazawa ,tusipende kulea vibovu kwa upofu wa ushabiki.Wewe na miaka yako 18 kiushabiki lakini unaonekana bado Arsenal huijui.Arsenal inatransfer approach yake tofauti na PSG au Madrid, huwezi kulazimisha Arsenal isajili big names wakati transfer policy haipo hivyo.
Halafu Kuzidiwa bajeti na everton kwenye usajili sio tija, kwani hata spurs pia alizidiwa bajeti na hao everton lakini vipi kuhusu achievement?.
BTW hata hao mashabiki wa uingereza wanaoprotest hujawaelewa tu. Hao wanataka mfumo ubadilike tuingie kwenye kusajili majina na ndio maana wana mmention kroenke kama tatizo, wanaonekana hawana tofauti na wewe ndio walewale tu mnaoamini kwenye majina makubwa
Jifunze kwa club kama ajax mkuu, bajeti yao ya usajili ni ndogo lakini walete hao wanaomwaga pesa wanapigwa kama wamesimama.
Kwa ushauri tu unaweza hamia psg au city ili usiumie sana maana kule utapata unachokitaka, wachezaji kama wakina Neymar, mbappe wapo kule, sisi wetu matteo,maurice na martinelli.
We jamaa usinichoshe ni mgumu sana kuelewa, halafu unaonekana ni mbishi by natureYaani wewe bwana Mbonde kutoka huku kusini mwa jangwa la Sahara ndio mwelewa kuliko hao mashabiki wa Arsenal ya London mbona unachekesha ww,unajifanya kuijua club kuliko hao wazawa ,tusipende kulea vibovu kwa upofu wa ushabiki.
Ukweli lazima tuongee Liverpool ile pale,sera zake za usajili zilikuwa kama Arsenal,angalia Liverpool usajili walioufanya na mafanikio waliyo yapata,dunia ya soka imebadilika ndio ukweli wenyewe.Kila msimu club ina tengeneza hela ndefu,alafu wanasajili watu wa kawaida,alafu unataka watu wasihoji.
Kama nilivyokuambia Kuishabikia Arsenal hujanichagulia ww,kwani huna uwezo wa kuniambia nihame,So kuongea nitaongea na kukosoa nitakosea kwani kukosoa ni haki ya msingi kwa shabiki yoyote duniani.
We jamaa usinichoshe ni mgumu sana kuelewa, halafu unaonekana ni mbishi by nature
Nani alikwambia sera ya usajili wa liverpool inafanana na ya Arsenal?
Je kuhusu annual financial report ya arsenal, kwenye balance ya mwaka huu unaijua ni kiasi gani paka useme timu imetengeneza pesa nyingi? Toa supporting evidences tukuelewe sio unapiga mboyoyo hapa
BTW Kukaa karibu na kanisa au msikiti haimaniishi hauna dhambi.
Ushauri wangu unaweza hamia liverpool, wala hakuna anayekulazimisha kubaki Arsenal.
They are just transfer policiesKwa fungu la bajeti la usajili.
Ngoja nikuelekeze kitu usichokijua nduguYaani wewe bwana Mbonde kutoka huku kusini mwa jangwa la Sahara ndio mwelewa kuliko hao mashabiki wa Arsenal ya London mbona unachekesha ww,unajifanya kuijua club kuliko hao wazawa ,tusipende kulea vibovu kwa upofu wa ushabiki.
Ukweli lazima tuongee Liverpool ile pale,sera zake za usajili zilikuwa kama Arsenal,angalia Liverpool usajili walioufanya na mafanikio waliyo yapata,dunia ya soka imebadilika ndio ukweli wenyewe.Kila msimu club ina tengeneza hela ndefu,alafu wanasajili watu wa kawaida,alafu unataka watu wasihoji.
Kama nilivyokuambia Kuishabikia Arsenal hujanichagulia ww,kwani huna uwezo wa kuniambia nihame,So kuongea nitaongea na kukosoa nitakosea kwani kukosoa ni haki ya msingi kwa shabiki yoyote duniani.
Ngoja nikuelekeze kitu usichokijua ndugu
Unafikiri ni kwanini baada ya mzee wenger timu iliachwa kwa mtu kama sanllehi pia akaletwa sven mislitant(sasa hivi Edu) na kocha akapewa Unai emery (hawa wote wamefanya mambo makubwa kwenye bajeti ndogo ya timu walizokuepo mwanzo) ???
Hii Ni kwa kuwa timu ilikua inaendeleza falsafa iliyopo ya kufanya kazi ndani ya bajeti ndogo,kuinua vipaji na kuuza wachezaji kutengeneza pesa zaidi, kitu kilichofanya Mikel arteta akose kazi kwa kuwa alitaka kucontrol transfer policy ya club.
sasa unacholalama wewe hapa ni nini? hueleweki ujue, msaada wangu kwako ni wewe kuhama timu tu kwasababu hata ukilalama haiwezi badilisha kitu, kama una hela nenda kasajili wewe.
Kukijua kitu ni kukifatilia sio kua karibu nacho, ndio maana mimi naweza kumjua mtoto wako wa kike kuliko unavyomjua.
Mkuu ukifananisha Man united na Arsenal utagundua Man utd kila mwaka wanatengeneza pesa nyingi kuliko arsenal, hivyo kwenye transfer mrkt lazima waspend big pia.Nyote mko sawa, asichokipenda ndugu joseph1989 ni hiyo policy ya usajili ya kutumia bajet ndogo na kukuza vipaji. Kwa mtazamo wangu inawezekana kubadili policy na kusajili wachezaji wazuri. Hembu fikiri kama wasipotumia mpunga wa kutosha unadhani tutapata mkoba(#5) wa maana kama mdachi wa Liva? Naona tetesi kuna CB anamiaka 21 tunamtaka?! Ni utani huu
Wahame tu arsenal yetu ,tupo nayo kila hatua ,Mkuu unaweza hamia Man city au PSG kama unataka usajili mkubwa, lakini kwa sisi Arsenal usajili wetu ndio huu miaka yote
Hebu waeleze hao, kuna watu wapo kupiga kelele tuMkuu ukifananisha Man united na Arsenal utagundua Man utd kila mwaka wanatengeneza pesa nyingi kuliko arsenal, hivyo kwenye transfer mrkt lazima waspend big pia.
Ukifananisha chelsea,city na Arsenal utagundua hao wengne wanatumia pesa za mifukoni mwa maboss wao, wakati Arsenal club inajiendesha yenyewe hivyo hatuwezi shindana nao kwenye market
Ukifananisha arsenal na liverpool. Issue ya liverpool kusajili Allison na Dijk ilikua influenced na balance sheet yao at that moment (coutinho €140 na kufika champions league final vs madrid) waliongelea kwenye annual financial report yao kwani kabla ya hapo liverpool hawakuwahi toa offer kama hizo, lakini kwa bajeti hiyo iliwaruhusu kuspend big(refer usajili wa MANE, SALAH,FIRMINO na GINI ujue bei zao)
Spurs na Arsenal ni km tunaendana tu, sema wanatuzidi kitu kimoja,wao wanapata quality players kwa bajeti ndogo na ndio kitu arsenal wanakifanya siku hizi.
Huwezi tumia zaidi ya unachokipata mkuu,
Halafu kukuza vipaji ni moja ya vyanzo vya mapato ndani ya club, Arsenal haiwezi acha hicho kitu.
Umeeleza vzr sanaNgoja nikuelekeze kitu usichokijua ndugu
Unafikiri ni kwanini baada ya mzee wenger timu iliachwa kwa mtu kama sanllehi pia akaletwa sven mislitant(sasa hivi Edu) na kocha akapewa Unai emery (hawa wote wamefanya mambo makubwa kwenye bajeti ndogo ya timu walizokuepo mwanzo) ???
Hii Ni kwa kuwa timu ilikua inaendeleza falsafa iliyopo ya kufanya kazi ndani ya bajeti ndogo,kuinua vipaji na kuuza wachezaji kutengeneza pesa zaidi, kitu kilichofanya Mikel arteta akose kazi kwa kuwa alitaka kucontrol transfer policy ya club.
sasa unacholalama wewe hapa ni nini? hueleweki ujue, msaada wangu kwako ni wewe kuhama timu tu kwasababu hata ukilalama haiwezi badilisha kitu, kama una hela nenda kasajili wewe.
Kukijua kitu ni kukifatilia sio kua karibu nacho, ndio maana mimi naweza kumjua mtoto wako wa kike kuliko unavyomjua.
Hiv unadhan Maskaut wa arsenal wajinga au?Nyote mko sawa, asichokipenda ndugu joseph1989 ni hiyo policy ya usajili ya kutumia bajet ndogo na kukuza vipaji. Kwa mtazamo wangu inawezekana kubadili policy na kusajili wachezaji wazuri. Hembu fikiri kama wasipotumia mpunga wa kutosha unadhani tutapata mkoba(#5) wa maana kama mdachi wa Liva? Naona tetesi kuna CB anamiaka 21 tunamtaka?! Ni utani huu
Hiv unadhan Maskaut wa arsenal wajinga au?
Halafu usidhan kumpata vvd mwingine ni rahisi,
Na usidhan kila kumwaga hela utapata quality,
Sera ya arsenal ni kwenda kutafuta talented players kwa bei rahisi. , hii ndio project iliyopo sasa,
Muache emery ajenge jeshi lake ,akishindwa atatimuliwa tu,
Mkuu kuna sheria mpya ya FFP ambapo unaweza kutumia pesa kulingana na mapato hivyo kuna limit ya matumizi.... Kumbuka Arsenal ina wagebill kubwa sana hivyo ili kubalance vitabu ilibidi angalau tuingie champions league ili tuweze kuwa na dau kubwa la usajili.Wenzenu wanatoboka paund za kutosha milion 500 uko, nyie 60 tu halafu mnataka mbebe EPL na Europa. Nakwambia hata qarabao mtashiriki tu Hahaha..
Mkuu umeongea vema, nadhani msimuu unaoanza tukimaliza nafasi ya 10 watu ndio watajua tatizo la Arsenal lipo wapi?Ndugu hiyo policy ya kukuza vipaji haipingiki, ila kukataa kununu wachezaji wa maana kisa policy hairuhusu ni upoyoyo, haya sasa tunaendelea kusota na futuhi then unategemea hao watoto watatutoa kirahisi hapo?? Unai atafukuzwa kisa hao watoto. Swala la kukuza vipaji ni la academy huku timu ya wakubwa ni kazi tu, hilo swala la kukuza na kuuza, so far limetufikisha wapi? Tubadili policy tukuze vipaji na tununue wanaojua. Swala la hawapatikani kirahisi halihusiki, sio kila mshambuliaji lazima awe kama Messi ndo maana tuna kina Auba.
Mkuu kwa wachezaji wa mafungu tunaotaka kununua unadhani watatuwezesha kushiriki UEFA!?. Mimi binafsi sidhani.Mkuu kuna sheria mpya ya FFP ambapo unaweza kutumia pesa kulingana na mapato hivyo kuna limit ya matumizi.... Kumbuka Arsenal ina wagebill kubwa sana hivyo ili kubalance vitabu ilibidi angalau tuingie champions league ili tuweze kuwa na dau kubwa la usajili.
Sasa Europa league hatuwezi ingiza zaidi ya £40 Million sasa unadhani utasajili wachezaji kwa mapato yapi?? Ingekua zamani tungeweza weka hata hela za kukopa huko matrillion ukasajili ila sahivi wana limit sana otherwise yatatukuta ya PSG au Ac Milan ya wanaolekea kufungiwa usajili au kushiriki UEFA sababu ya kukiuka FFP.
So ni either tuuze wachezaji ndio tusajili au tuingie champions league msimu wa 2020/21 otherwise tutaendelea kuwa ma bajeti finyu.
MAIN POINT: Hio bajeti hawajaamua Arsenal bali wanabanwa na sheria za Financial Fair Play za UEFA.
Ndio hivyo tuuze wachezaji wanaobeba mshahara mkubwa kama Ozil na Mikhi na mmoja kati ya Laca/Auba hapo utapata angalau €80+ Million.Mkuu kwa wachezaji wa mafungu tunaotaka kununua unadhani watatuwezesha kushiriki UEFA!?. Mimi binafsi sidhani.
Mkuu tukoendelea hivi amini nakwambia UEFA tutacheza 2025/2026.Ndio hivyo tuuze wachezaji wanaobeba mshahara mkubwa kama Ozil na Mikhi na mmoja kati ya Laca/Auba hapo utapata angalau €80+ Million.
Unaenda ongeza nguvu maeneo mengine.... Hata liverpool hawakujijenga msimu mmoja bali walisajili eneo moja moja kwanza taratibu mpaka wakasolve kote
Arsenal tumeshatibu tatizo la washambuliaji... Tukiweza na Defence basi kazi kwisha. Shida inayokuja ni kutaka kusajili bila mpangilio maalum.... Ilipaswa tusajili beki watupu hta kma hatuna winger n.k then msimu ujao mnahamia kwa mawinger n.k
Ila huu usajili wa mchezaji mmoja mmoja haitotufikiaha kokote.... All in all Bila UEFA tusahau kuwa na bajeti unayotamani maana miaka 3 sasa hatupo UEFA Champions... So mapato yameshuka.
UEFA ndio suluhisho hakuna shortcut