Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,154
- 14,114
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] hayo maongezi yameniacha hoiMnyama Raul kamlia buyu David ornstein
badaye ndiyo kaja kumjibu dogo tusisumbuane..mambo yetu tunafanya kisirisiri...na Raul alisema kwenye ile interview yake ya juzi na Vinai kwamba usajili wetu utakuwa wa private sana..coz klabu nyingi zimekuwa zinatusikiliza wachezaji tunaowataka afu nao ndo wanaenda kuwahi kuwataka kusajili..
ORNSTEIN ANABLOCK WATU TWEETER , AKIAMBIWA MBONA SIKU HIZI HATOI TAARIFA ZA NDANI ZA KUAMINIKA KAMA ZAMANI , ALIVYOKUWA AKIPEWA HABARI NA ARSENE WENGER
View attachment 1130148
Hahaaa jamaa siku hizi haaminik maana habari nyet alikuwa anapewa na Wenger,[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] hayo maongezi yameniacha hoi
[emoji13][emoji13] Aiseeh....Barua ya Bwana Raul, kwenda kwa Ajax , imevuja ,akiomba tulipe kwa installment katika kumsajiri ZiyechView attachment 1130152
Usajili Arsenal!
Wakuu mambo yanasuasua kutokana na kutowasili kwa Edu ambae anakuja kuwa mkurugenzi wa mpira kuanzia tarehe 8 Julai.
Hivi sasa Edu anaishughulikia timu ya taifa ya Brazil kwenye mashindano ya Copa America ambayo Brazil imeyaanda mwaka huu nchi humo baada ya kutofanya hivyo kwa muda mrefu.
Nchi za Qatar na Japan zimealikwa kweye mtanange huo ambapo mkapa sasa Brazi yangoza kwa points kadhaa kwenye kundi lake.
Hata hivyo Edu ametoa ushauri wa kiufundi kuhusiana na aina ya wachezaji ambao Arsenal inataka kuwasajili, kwa kuzingatia kuwa yeye ndo atakuwa msimamizi wa masuala yote ya usajili na endelezaji wa wachezaji wa kutoka kwenye kitalu cha Arsenal.
Pamoja na William Saliba kuonekana anakuja Arsenal, pia beki wa PSG Presnel Kmpembe huenda akaja Arsenal kwani PSG wanataka kupata fedha zaidi za kusajili wachezaji wengine kama Paul Pogba.
Hivyo ikiwa mambo yataenda kama yanavyozungumzwa, basi hapo chini ni safu ya timu ya kwanza ya Arseal kwa msimu wa 2019/20
Wachezaji ambao nimewataja hapo awali kama Praet, na Tierney wanaweza kabisa kuungana na Presnel Kimpembe, William Saliba na Dennis Praet.
Stay Tuned.
COYGs!!!
Usajir wa arsenal kwasasa haupo predictable. Kwanza sasa hiv inaonesha hatuwez kutambulisha any player mpaka kuanzia July 1, tukivuta Uzi wa Adidas , kinachofanyika sasa hivi ni kufanya negotiation mapema na kuhold madili ,So usajili utaanza tarehe 8 July????!!!!
Got you bro...Usajir wa arsenal kwasasa haupo predictable. Kwanza sasa hiv inaonesha hatuwez kutambulisha any player mpaka kuanzia July 1, tukivuta Uzi wa Adidas , kinachofanyika sasa hivi ni kufanya negotiation mapema na kuhold madili ,
William saliba huyu ni CB, Ziyech winger, Alex Maurice Anacheza winger na CF. , Na ataongezwa AM mmoja , huku Auba na laca ,Micky ,ozil wakibaki,
Nataraji kuona kikosi hiki next season
4-2-3-1 au 4-3-3
Leno
Belle saliba sokratis kola
Lt11 new AM?(praet)
Ziyech ozil auba
Lacazzete
[emoji3][emoji3][emoji3]Pole ya nini mkuu ikiwa tuna chance kubwa ya kubeba Europa?
yule dogo wa Brazil ambae Arsenal ilikuwa inasubir atimize miaka 18 sasa leo saa 6 kamili ndio anatimiza huo umri!Got you bro...
Mambo si ndo hayo.....Martinelli,Saka,Smith-Rowe,Nelson etc.....tatizo la winga baadaye tutalisikia kwa majirani tu..yule dogo wa Brazil ambae Arsenal ilikuwa inasubir atimize miaka 18 sasa leo saa 6 kamili ndio anatimiza huo umri!
Gabriel # Martinelli, Ituano young brazilian striker, compared to Brazilian #Ronaldo, is very close to #Arsenal. tomorrow turns 18 years old. #transfer #AFC Arsenal
KWA UTARATIBU WA ARSENAL ,HUYU DOGO ATAPEWA NAFASI YA KUCHEZA,
EDU AMEHUSIKA KUMLETA ARSENAL , AMESKAUTIWA KWA MUDA MREFU ,