RIP Reyes
Ila dah huyu jamaa ananikumbusha unbeaten ile Arsenal ya Formula One Reyes alikuwa anawakimbiza,yaani hata kama hujaangalia gemu ukifika unauliza "hivi Leo tumeshinda ngapi", yaani full uhakika,ila sasa hivi tupo hovyo .
Rest in paradise Reyes.