Arsenal (The Gunners) | Special Thread


........................................ARSENAL, TOGETHER WE STAND!




 
arshavin anapiga cha pili assisted by fabregas.hii timu inatupa nafasi nyingi lakini tunashindwa kuzitumia huu mchezo ni mbaya sana wa kutoweza kutumia nafasi za wazi.
 
Mkuu AW.......Endelea kudondosha updates.........wengine tupo vijijini huku,hakuna cha TV wala nn.............Hope leo itanyesha mvua ya magoli maana muda mfupi tu !!!!!!!!!!!!!!!!..............Go Arsenal go.......................Pa1
 
mpira half time hapa 3-0.Arshavin anapotezamipira sana ,kiwango chake kinasikitisha siku hizi sio yule arshavin tunayemjua.
 
Muu AW.......Endelea kudondosha updates.........wengine tupo vijijini huku,hakuna cha TV wala nn.............Hope leo itanyesha mvua ya magoli maana muda mfupi tu !!!!!!!!!!!!!!!!..............Go Arsenal go.......................Pa1

bila wasi wasi mkuu.jamaa wametupa uhuru wa kucheza mpira wetu ni sisi wenyewe tuko relax sana ilitakiwa hiwe 6-0 show game imezidi.

hapa cha kuangalia je tunaweza kupata clean sheet manake naona kipindi sasa clean sheet inatushinda.
 
Hawa madogo wangu wakiendelea hivi, mwaka huu sitasumbuliwa na vidonda vya tumbo!
 
Huyu mtoto Wilshere ni noma sana...leo Arsenal wamecheza kama YANGA enzi zile za TAMBWE LEYA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…