Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hawa Wachezaji wa mafungu mafungu hawatawapa chochote zaidi ya vipigo tu
 
Signing Monreal allows us to shift Mustafi and have funds to sign a long term CB, LB, CM and a winger this window - we use Monreal as back up and then next year we replace him

Very good move in terms of saving money and shifting on Mustafi who clearly isn’t doing well
 
Wewe timu gan mkuu, tuanzie hapa isije kuwa ni chelwowo ,au looserpool,au nyumbu

Mzee baba, kila siku tetesi za viongo tuuuu, husikii beki akizungumziwa. Yule mwamba aliyemleta Mateo na toreira atakumbukwa tu, alimkataa kiazi toka Barcelona, kocha akamng'ang'ania, kiko wapi? Hizo tim nyingine achananazo.
 
Mzee baba, kila siku tetesi za viongo tuuuu, husikii beki akizungumziwa. Yule mwamba aliyemleta Mateo na toreira atakumbukwa tu, alimkataa kiazi toka Barcelona, kocha akamng'ang'ania, kiko wapi? Hizo tim nyingine achananazo.
Kwakuwa hufatilii habari za klabu,

Ila ungekuwa unafatilia ungejua hata CB ndio chaguo la kwanza,
 
Cheltako inarud kwenye hadhi yake ya kina Fulham ,

Timu zote za London ukipanga head to head hakuna aliyemzid arsenal,
Mkuu panga head to head miaka 10 iliyopita.
 
Mkuu achaneni na watoto wa shilingi mia mia..wekeni mipango ya kununua kina Mbape. Utoto mwingi sana hapo Emirates.
 
Poleni wafiwa kwa msiba mzito
Hivi mazishi yanafanyika Emirates au Gongo la mboto?
Tunamuomba pia Arron atupe historia fupi ya marehemu kwa niaba ya wafiwa
MAREHEMU ALIKUWA NA MDOMO SANA.
.. japokuwa mechi tatu mfululizo kafungwa goli 9.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…