Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sasa mkuu unaweza kweli kuropoka hapa pazia lako kepa kufananisha na Leno?
Hahahahahaha

Mkuu kipigo kimevuruga akili yako. Toka mchana nilikupa tahadhari kuhusu Leicester ..sasa angalia kipigo nnayoenda kumpa. Ndo utajua kuwa una timu mbovu.

London timu ni moja tu CHELSEA.
 
Hahaaa cheltako ndio timu bora?

Kwa taarifa yako chukua takataka zote London , wote mataji hayafikii jumla ya arsenal. ,

Wewe umeahindwa kumfunga nyumbu, unasa una timu nzuri kweli?
 
mwenye mechi nyepesi ni Man u tu ila sisi na chelsea kazi ipo
 
Hahahahahaha

Mkuu kipigo kimevuruga akili yako. Toka mchana nilikupa tahadhari kuhusu Leicester ..sasa angalia kipigo nnayoenda kumpa. Ndo utajua kuwa una timu mbovu.

London timu ni moja tu CHELSEA.
Cheltako inarud kwenye hadhi yake ya kina Fulham ,

Timu zote za London ukipanga head to head hakuna aliyemzid arsenal,
 
Hahahahahaha

Mkuu kipigo kimevuruga akili yako. Toka mchana nilikupa tahadhari kuhusu Leicester ..sasa angalia kipigo nnayoenda kumpa. Ndo utajua kuwa una timu mbovu.

London timu ni moja tu CHELSEA.
Cheltako hii hii ndio timu bora? Hahaaa

Ngoja nicheki game nitakurudia baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…