Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wolve 3
Crystal palace 3
Leicester 3
Valencia ??????????
 
"Please Unary remove your mask, we know it's you Wenger"...... Alisikika shabiki mmoja
 
Mimi naomba niseme kitu, ni bora ukawa fans wa man u, wapo na spirit ya mabadiliko.

Ni bora uwe fans wa Chelsea na wao wana spirit ya mabadiliko.

Lakini ARSENAL na EMERY wenu nawaambia mtabaki hivi hivi juu mkate chini tambi, mkisubili miaka kama kumi ya kocha huyu ipite.
 
Matokeo mazuri kwa Arsenal haya ndugu zangu!hii ni last chance Chelsea kabakiza na Watford na Leicester away anything can happen
 
Haya matokeo ya nyumbu na chelwowo

Ni last chance kwetu, au tuhamishie nguvu Europa,
 
Haya matokeo ya nyumbu na chelwowo

Ni last chance kwetu, au tuhamishie nguvu Europa,
Hapa ni do or die kwenye League na Europa league hii ni last chance kwetu yaani ni do or die sababu top 4 itaamuliwa na Chelsea na Arsenal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…