Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Moja ya marefa bora kabisa hapindi wala kutoa favour umeme umeme tu,yellow yellow tu, tuta ataweka hata sekunde ya mwisho, very straight person
Sven alishaondoka toka february nyie ndo msiejua mpira malopolopoMkuu usitegeme mabadiliko yoyote kwa Emery ndio mana Sven anaondoka.
Hata Emery ni wa kusafishwa pia kutukana nataka ila naogopa ban Mechi ya Manchester United na Chelsea nasema hivi kama Manchester United atashinda Arsenal top 4 haendi na Chelsea akishinda ndo kwa heri ila nlisema Arsenal tutaikumbuka penalty aliyokosa Aubameyang dhidi ya Spurs aliipiga kisenge akijua ni penalty Muhimu sana sana na nkiangalia mechi ya Man na Chelsea siioni droo kabisaBeki yetu Emery inabidi afanye usafi usajili ukianza.
hamna timu hapo
Teh![emoji12][emoji12][emoji12] hii team nayo ilikuwa kwenye mbio za ubigwa
kwani hiyo penalty aliyokosa dhidi ya spurs ndio imewafanya wafungwe na hizi game nyingine. Usitafute sababu timu kama ni mbovi ni mbovu tuHata Emery ni wa kusafishwa pia kutukana nataka ila naogopa ban Mechi ya Manchester United na Chelsea nasema hivi kama Manchester United atashinda Arsenal top 4 haendi na Chelsea akishinda ndo kwa heri ila nlisema Arsenal tutaikumbuka penalty aliyokosa Aubameyang dhidi ya Spurs aliipiga kisenge akijua ni penalty Muhimu sana sana na nkiangalia mechi ya Man na Chelsea siioni droo kabisa
Unajua sababu za Sven kuondoka? Kuwa mstaarabu nani amelopoka? Kauli za kiuni wote tunazijua.Sven alishaondoka toka february nyie ndo msiejua mpira malopolopo
Asa kuna uhusiano gani kati ya sven kuondoka na matokeo mabovu ya timu?
kwani hiyo penalty aliyokosa dhidi ya spurs ndio imewafanya wafungwe na hizi game nyingine. Usitafute sababu timu kama ni mbovi ni mbovu tu
MECHI IJAYO ARSENANE HATAKI MAN U ASHINDE PIA HATAKI CHELSHIT ASHINDE PIA HATAKI WADROO, MAYOKEO YOYOTE TOP 5 INAMUHUSU
Unaniuliza nini nsichokijua ww??Unajua sababu za Sven kuondoka? Kuwa mstaarabu nani amelopoka? Kauli za kiuni wote tunazijua.