The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,429
Tayar Leicester anacheza na Mbawa fc
Huyu Iwobi amewezaje kucheza Arsenal kweli uchawi upo
Arsenal si timu ya watoto tu, kucheza Iwobi ni kawaida tu..bora yeye hata kwenye National team yupo. Niambie mwingine anayechezea timu yake ya taifa.Huyu Iwobi amewezaje kucheza Arsenal kweli uchawi upo
unasemaa!!!Tumomae europa tu. Mechi tatu mfululizo tunapoteza
Hahaa.. Huku mnashindwa kule mtaweza.? Yan mmechanganyikiwa mpaka hamjui mnacho andika.Tumomae europa tu. Mechi tatu mfululizo tunapoteza
Ollachuga Oc will come to declare all out war
Mkuu mi hua nikimuona tu huyu jamaa kwenye mechi yetu hua naanza kuandika maumivu mapema.The biggest threat today is not Leicester, but Michael Oliver
He is always favours Spurs
Mkuu mi hua nikimuona tu huyu jamaa kwenye mechi yetu hua naanza kuandika maumivu mapema.
japokua maitland niles amefanya immature defending lakini Oliver amekua too harsh kwenye maamuzi dhidi yetu.