Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

- Wachezaji wengi kuuzwa au kuondolewa Arsenal ikijiandaa na msimu ujao wa 2019/20
- Nicolo Barella wa Gagliari ya Italia anafukuziwa kuziba nafasi ya Aaron Ramsey.
- Schodran Mustafi anaongoza orodha ya wachezaji wasohitajika.

The one piece of transfer business Arsenal boss Unai Emery MUST get right this summer

Arsenal wanamhitaji nahodha wa Cagliari na kiungo mshambuliaji Nicolo Barella.

Bodi ya Arsenal imemhakikishia kocha Unai Emery kitita cha kutosha kufanya usajili wa aina yake endapo tu Arsenal itafuzu kucheza ligi ya mabingwa wa Ulaya msimu ujao.

Pamoja na mabeki Calum Chambers (yuko Fulham kwa mkopo) na Rob Holding ambae alikuwa majeruhi na sasa amepona, pia yupo beki wa kulia Hector Berellin.

Ipo orodha ya wachezaji ambao endapo Arsenal itawasajili msimu ujao basi Arsenal haitakuwa na shida ya kuwa moja ya timu tishio.

Wachezaji kama mshambuliaji wa pembeni wa Crystal Palace Winfried Zaha, beki wa kati Samuel Umtiti wa Barcelona, Malcom wa Barcelona ni miongoni mwa wachezaji kadhaa aliopo kwenye orodha ya mahitaji kusajiliwa msimu ujao.

Mchezai wa kiungo wa Cagriali Nicolo Barella ndie anaeangaliwa kuja kuziba nafasi ya Aaron Ramsey.

Barella ana uwezo wa kupokonya mipira katikati na kumpasia Alexandra Lacazette ili aweze kufunga, kazi ambayo imemshinda Mesut Ozil kwa kiasi kikubwa khasa kwenye mechi za ugenini.

Kazi afanyazo Barella awapo katikati ya uwanja na timu yake hufanana kabisa na kazi wafanyazo Cristian Ericson wa Tottenham, au Bernado Silva wa Machezster City au Willian wa Chelsea.

Hivyo Iwapo Barella atasajiliwa na Arsenal basi atacheza akiwa mbele ya Granit Xhaka na Lucas Torreira na nyumba ya mshambuliaji Alexandra Lacazette.

Ntaanza kushuka na baadhi ya "target" za Arsenal kwa msimu ujao baada ya mechi na leicester kesho mchana.

Arsenal inahitaji wachezaji kama 5 hivi ili kuwa timu imara zaidi khasa kwenye nafasi ya mabeki, kiungo na mshambuliaji wa pembeni.
Inabid twende top 4 kwanza,

Msimu ujao tukiondoa baadhi ya takataka tutakuwa washindan bora,

Msimu huu tumejitahid sana, inafikia kipind xhaka, lt11, Ramsey hawapo na bado tunapigania top 4, unabaki bench na elneny na Matteo

Wakati wenzetu unakuta wana pogba,Herrera,matic ,Fred,mctominay, na bado wanahangaika kupata nafas ya 5,

Chelsea ana kante,bakrey,covacic,jojino, na wote wazima karibu kila mech lakin wana struggle kupata top4,

Nimsifu unai kwa kupigana hadi sasa, lait angekuwa na backup nzuri ya midfield ,sasa hiv tungekuwa tumeshamalizana na swala la top4

Msimu ujao tayari Elneny, mustafi, wataondolewa hivo natarajia kuona ERICK BAILY, BARELA, na zaha n.k wakiongeza nguvu kwa mujibu wa tetesi,
 
- Wachezaji wengi kuuzwa au kuondolewa Arsenal ikijiandaa na msimu ujao wa 2019/20
- Nicolo Barella wa Gagliari ya Italia anafukuziwa kuziba nafasi ya Aaron Ramsey.
- Schodran Mustafi anaongoza orodha ya wachezaji wasohitajika.

The one piece of transfer business Arsenal boss Unai Emery MUST get right this summer

Arsenal wanamhitaji nahodha wa Cagliari na kiungo mshambuliaji Nicolo Barella.

Bodi ya Arsenal imemhakikishia kocha Unai Emery kitita cha kutosha kufanya usajili wa aina yake endapo tu Arsenal itafuzu kucheza ligi ya mabingwa wa Ulaya msimu ujao.

Pamoja na mabeki Calum Chambers (yuko Fulham kwa mkopo) na Rob Holding ambae alikuwa majeruhi na sasa amepona, pia yupo beki wa kulia Hector Berellin.

Ipo orodha ya wachezaji ambao endapo Arsenal itawasajili msimu ujao basi Arsenal haitakuwa na shida ya kuwa moja ya timu tishio.

Wachezaji kama mshambuliaji wa pembeni wa Crystal Palace Winfried Zaha, beki wa kati Samuel Umtiti wa Barcelona, Malcom wa Barcelona ni miongoni mwa wachezaji kadhaa aliopo kwenye orodha ya mahitaji kusajiliwa msimu ujao.

Mchezai wa kiungo wa Cagriali Nicolo Barella ndie anaeangaliwa kuja kuziba nafasi ya Aaron Ramsey.

Barella ana uwezo wa kupokonya mipira katikati na kumpasia Alexandra Lacazette ili aweze kufunga, kazi ambayo imemshinda Mesut Ozil kwa kiasi kikubwa khasa kwenye mechi za ugenini.

Kazi afanyazo Barella awapo katikati ya uwanja na timu yake hufanana kabisa na kazi wafanyazo Cristian Ericson wa Tottenham, au Bernado Silva wa Machezster City au Willian wa Chelsea.

Hivyo Iwapo Barella atasajiliwa na Arsenal basi atacheza akiwa mbele ya Granit Xhaka na Lucas Torreira na nyumba ya mshambuliaji Alexandra Lacazette.

Ntaanza kushuka na baadhi ya "target" za Arsenal kwa msimu ujao baada ya mechi na leicester kesho mchana.

Arsenal inahitaji wachezaji kama 5 hivi ili kuwa timu imara zaidi khasa kwenye nafasi ya mabeki, kiungo na mshambuliaji wa pembeni.
Tukimpata barela , zaha, na baily ,

Halafu hawa si wanaondoka kina mustafi na neny,basi nadhan tutakuwa washindani

Maana holding,belle wanarejea hivo kufanya back line kuwa imara ,kiungo tutakuwa na option kati ya lt11,xhaka na barela

Winger tukimuongeza zaha,

Usajiri huu unaatosha kabisa kutufanya washindani ,kama tumeweza kushindana na man u ,Chelsea wenye viungo zaid ya wanne wazoefu na kila game wote wanakuwa fiti, basi ni dhahiri next season hawatatukamata,
 
- Wachezaji wengi kuuzwa au kuondolewa Arsenal ikijiandaa na msimu ujao wa 2019/20
- Nicolo Barella wa Gagliari ya Italia anafukuziwa kuziba nafasi ya Aaron Ramsey.
- Schodran Mustafi anaongoza orodha ya wachezaji wasohitajika.

The one piece of transfer business Arsenal boss Unai Emery MUST get right this summer

Arsenal wanamhitaji nahodha wa Cagliari na kiungo mshambuliaji Nicolo Barella.

Bodi ya Arsenal imemhakikishia kocha Unai Emery kitita cha kutosha kufanya usajili wa aina yake endapo tu Arsenal itafuzu kucheza ligi ya mabingwa wa Ulaya msimu ujao.

Pamoja na mabeki Calum Chambers (yuko Fulham kwa mkopo) na Rob Holding ambae alikuwa majeruhi na sasa amepona, pia yupo beki wa kulia Hector Berellin.

Ipo orodha ya wachezaji ambao endapo Arsenal itawasajili msimu ujao basi Arsenal haitakuwa na shida ya kuwa moja ya timu tishio.

Wachezaji kama mshambuliaji wa pembeni wa Crystal Palace Winfried Zaha, beki wa kati Samuel Umtiti wa Barcelona, Malcom wa Barcelona ni miongoni mwa wachezaji kadhaa aliopo kwenye orodha ya mahitaji kusajiliwa msimu ujao.

Mchezai wa kiungo wa Cagriali Nicolo Barella ndie anaeangaliwa kuja kuziba nafasi ya Aaron Ramsey.

Barella ana uwezo wa kupokonya mipira katikati na kumpasia Alexandra Lacazette ili aweze kufunga, kazi ambayo imemshinda Mesut Ozil kwa kiasi kikubwa khasa kwenye mechi za ugenini.

Kazi afanyazo Barella awapo katikati ya uwanja na timu yake hufanana kabisa na kazi wafanyazo Cristian Ericson wa Tottenham, au Bernado Silva wa Machezster City au Willian wa Chelsea.

Hivyo Iwapo Barella atasajiliwa na Arsenal basi atacheza akiwa mbele ya Granit Xhaka na Lucas Torreira na nyumba ya mshambuliaji Alexandra Lacazette.

Ntaanza kushuka na baadhi ya "target" za Arsenal kwa msimu ujao baada ya mechi na leicester kesho mchana.

Arsenal inahitaji wachezaji kama 5 hivi ili kuwa timu imara zaidi khasa kwenye nafasi ya mabeki, kiungo na mshambuliaji wa pembeni.

Sina imani na mchezaji anaewaniwa na Arsenal peke yake awe tishio. Watatuletea kina Goundoz tu wengine.
 
If my memory serves me right Emery has been promised by the club a budget of only 45 million GBP for the next season!!
That’s a very thin war chest! Manake hata Mitrovic wa Fulham hutampata kwa budget hiyo
 
ARSENAL MABINGWA WA LEAGUE U-18

Kikosi cha vijana chini ya umri wa miaka 18 kimetwaa ubingwa wa league hiyo

Kina john- jules,greenwood bila kumsahau bukayo saka wakiwa performance ya kulizisha potential awa vijana nikuwatafutia mfumo mzuri watusaidie senior team kwa baadae
FB_IMG_1556386054772.jpeg
 
Mkuu hizo habari si za kweli,

Ukweli ni huu iwapo Arsenal itafuzu UCL, itaspend £100m-150 ,

Maana kuna mpunga wa adidas £60m unaingia June, na kuna wachezaji 6 wanaondoka ,hivo replacement yao haiwezi kuwa 40 , hii habari ni fake

Cech ,nacho,neny,mustafi,Micky,Ramsey , na welbeck 50/50, kos6 70% anaondoka,,

Ndio maana wanakwambia ni 45 wengine 40,

Ni rubbish, tegemea matumiz ya £100m na 150 itafika kutokana na hela watakayouzwa, mustafi 20-25, neny 10-15,welbeck 10-20, Micky
 
Ndio maana nimekuwekea evidence hapo juu. Weka hapa hizo habari zote hapa kwa faida ya wote
 
Mkuu hizo evidence usiziamini achana nazo,

Soma hapa utaona mchanganuo mzima wa mapato ya arsenal, na kwanini January hatukusajiri ,na itakuwaje iwapo club itarejea UCL,

Bajeti itakwendaje , utaona kila kitu,

The same budget figures imetangazwa via Fox Sports, ESPN etc
Nimekwambia hizo ni sawa na udaku

David ornstein mwenyewe Hakuzungumza hiyo habari ambayo ili trend na ikapotea

That is according to BBC Sport reporter David Ornstein.

Soma hapa alichokisema

Mkuu hivyo vyanzo vyako mm huwa naviita udaku

David ornstein alizungumzia hilo ,baada ya hiyo habari kutrend

Sasa kama David alishalizungmza, nitashangaa ukilikomalia wakati ni udaku

Back
Top Bottom