Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mkuu labda upo nyuma ,hizi habari zilishatrend ,labda kama hujui michezo ya media za English,

David orsten akiongea na arsenal podcast alisema

“We don’t know the precise sums - I’ve been told it could be £100million in the summer. We’ve been told that in the past and we don’t want to either excite or disappoint people."

Ok
Sasa 100 million GBP utapata wachezaji wangapi wa maana in the market?
 
Unauliza 100 mkuu unapata wangapi? Kwa 70 tulipata wachezaji wanne ,lt11,sokratis ,Leno,na Matteo

Sasa kwa 100 ambayo itaongezeka had 150 ,maana hatu afflod free tu, elneny kuna timu zilimuhitaji had kwa 15, mustafi pia had 20,

Na wachezaji watakaoongezwa hawatazid watano,

Beki mmoja ambaye mpaka sasa anaweza kuwa erick Bailey kwa 20, barela 40, zaha 40-45, na wengine wawili , kuna kipa WA Newcastle WA kuziba nafas ya cech ,tunamuhitaji kwa 15,

Pamoja na kurejea kwa belle, holding,

Maeneo ambayo emery ameahid kuyagusia ni hasa CB, FB, LW, AM(Mbadala wa Ramsey) ,kipa no 2,
 
Labda King Ngwaba atanisaidia hapa lakini kuendelea kusajili wachezaji wa caliber na pedigree ya akina Matteo na Baily ni majanga
 
Sidhan kama Matteo alisajiriwa kama first eleven, ila kipind kile Sven alipendekeza aletwe na anaamin atakuwa mchezaji mzuri zaidi,

Erick baily anakuja kusaidiana na kolasinac, maana nacho anaondoka mwisho wa msimu
 
De Ligt, Kalilou Koulibaly, De Virj, wapo sokoni
 
Labda King Ngwaba atanisaidia hapa lakini kuendelea kusajili wachezaji wa caliber na pedigree ya akina Matteo na Baily ni majanga
Tatizo mkuu nimegundua unaamini zaid katika kumwaga hela zaidi,

Nikweli soko la sasa linahitaji kumwaga hela, ila usipotumia akili pia utashikishwa, ndio maana wiki mbili zilizopita emery alisema summer tutatafuta mchezaji kariba ya vvd bila kumwaga hela,

Maana hata sasa unaweza kupewa £75m umtafute mchezaji kama vvd na usimpate, ukaambulia garasa,

Cha muhimu ni kuwa na watu wanaoujua mpira was ajiri wisely ,panapohitajika hela zimwagwe, sio kila mchezaji unamwaga hela, ndio maana hata Wenger ndan ya mwaka mmoja alisajiri mastraikers wawili kwa £100m

Hivo kuna mahala pa kumwaga hela na kuna mahala pakwenda kwa utaratibu,

Usije kushangaa kwa hiyo 100 wakaletwa wachezaji watatu, then hela ya watakaouzwa ambayo anaweza kuwa hata 40 wakaletwa watatu, kutoka huko Italy ,america au Spain,
 
Siamini kumwaga pesa ila naamini quality bargains
Angalia Juventus system yao ya usajili ilivyo.
 
Quality bargain mkuu ndio hii ambayo emery katuahidi, hata mm napenda sana hiyo, sio kama walivyifanya Chelsea kusajiri kipa kwa 71, labda angekuwa oblack,

Kuna wachezaji pale arsenal ambao Wenger aliwasajiri wapo chin sana uwezo, inatokea tumepata majeruhi timu inapotea, hivo emery ameahid kuleta watu kiasi tukiwa na majeruhi wanakuwepo wakukuvusha ,

Quality bargain imeonesha mwanga IPO na inakuja ,maana katika wachezaji ambao tumesajiri kwa 70m paundi only, wameonesha maendeleo mazuri ,
 
Ila hapo sasa ina maana ubingwa itabidi usubiri sana tena sana
 
Wewe ulitegemea kwa bajeti ya £70m nitapambana na Chelsea na man u wenye wachezaji mmoja tu ana thaman ya £75m?

Ubingwa inategemea na timu kukamilika kila idara na kuwa na cosinsency,
 
Wewe ambaye humwagi hela umepata nini???
Tatizo mkuu nimegundua unaamini zaid katika kumwaga hela zaidi,

Nikweli soko la sasa linahitaji kumwaga hela, ila usipotumia akili pia utashikishwa, ndio maana wiki mbili zilizopita emery alisema summer tutatafuta mchezaji kariba ya vvd bila kumwaga hela,

Maana hata sasa unaweza kupewa £75m umtafute mchezaji kama vvd na usimpate, ukaambulia garasa,

Cha muhimu ni kuwa na watu wanaoujua mpira was ajiri wisely ,panapohitajika hela zimwagwe, sio kila mchezaji unamwaga hela, ndio maana hata Wenger ndan ya mwaka mmoja alisajiri mastraikers wawili kwa £100m

Hivo kuna mahala pa kumwaga hela na kuna mahala pakwenda kwa utaratibu,

Usije kushangaa kwa hiyo 100 wakaletwa wachezaji watatu, then hela ya watakaouzwa ambayo anaweza kuwa hata 40 wakaletwa watatu, kutoka huko Italy ,america au Spain,
 
Mimi naamini kwenye mfumo wa kukuza vipaji na Ajax Amsterdam wamedhihirisha hivyo.

Tusije kushangaa kuona Ajax wananyakua kombe la CL.

Arsenal na Emery wana haki ya kukuza vipaji na kuviendeleza na wakati huohuo wakisajili wachezaji wazoefu ili kutafuta timu imara na yenye uchu wa ushindi.

Arsene Wenger alikuwa ni mmoja wa makocha bora sana lakini alikosa kitu kimoja kikubwa kwenye suala la usajili kwamba nae alihitaji kusajili kwa akili.

Alikosa hivyo, na alipokuja mkurugenzi wa mpira bwana Sven Mislintat ndiye aliewasajili Matteo Guendouzi na Lucas Torreira ambao wamekuja kuwa baadhi ya wachezaji nyota wa Arsenal msimu huu.

Tusisahau pia kwamba kila timu ina mfumo wake wa biashara au Business Model na unaendeshwa vipi.

Pale Manchester City, mwarabu anaingiza pesa zake kutoka mfukoni na mara nyingi tu wamevunja sheria za matumizi ya fedha za ziada ya "financial play rule'' mara nyingi tu na ni wachezaji wangapi wameuzwa kutoka Man City kwenda timu zingine zaidi ya kusajili wachezaji zaidi?

Na sasa hivi Manchester City wanapanga kumsajili mchezaji wa kiungo mkabaji kuja kuziba pengo la Fernandinho aitwae Rodri kutoka Athletico Madrid ambae akagharimu kiasi cha Euro milioni 58!

Fernandinho mwaka huu mwezi Mei atatimiza umri wa miaka 34 na ameanza kuchoka.

Hivyo Manchester City wao wanacheza kihuni kwenye "transfer activities" kwa mfano walitoa pesa mfukoni pauni milioni 60 na wakamsajili Mahrez ili kumzuia asiende Arsenal msimu wa 2017/18.

Sasa hivi Mahrez analalamika kukosa kucheza wanafikiria kumuuza tena lakini watasema asiende kwenye timu pinzani.

Pia pale Manchester City yupo Danilo ambae Manchester City walimsajili kwa pauni milioni 26.5 msimu wa 2017/18 ambae mpaka leo anasugua bench.

Liverpool waliwauza Suarez kwa Barcelona kwa pauni milioni 75 hivi, baadae wakamuuza Phillipe Coutinho pia kwa Barceona kwa pauni milioni 142.

Sasa Liverpool wametumia vizuri pesa waloipata wakasajili wachezaji kama Sadio Mane kutoka Southampton (pauni milioni 34), Mohamed Salah (pauni milioni 36.9) kutoka Roma na baadae wakamsajili beki wao mshahara Virjil Van Dijk kwa pauni milioni 75.

Manchester United wao wakaingizwa mkenge na tapeli wa Ureno Jose Mourinho na tumeshuhudia jinsi walivyotumia kiasi cha pauni milioni 400 kwa wachezaji wapatao 11.

Manchester United wamemlipa tapeli huyo Jose Mourinho pauni milioni 18 kutokana na kuvunja mkataba nae.

Tottenham wao hawakusajili hata mchezaji mmoja katika msimu huu (khasa mwezi January) kwasababu wao wametumia zaidi ya pauni bilioni 1 kujenga uwanja wao pale White Hart Lane na hakuna mtu ambae amepiga kelele kama walizopigiwa Arsenal walipojenga uwanja wao pale Ashburton Grove.

Hivyo kila timu ina mfumo wake wa biashara business model na matumizi ya fedha wanazopata iwe mikopo au fedha za kutoka kwenye akiba benki zinazotokana na mauzo ya tiketi, nguo na vifaa vya michezo au merchandise na vyanzo vingine.

Tujifunze pia kutoka kwenye timu kama Watford na Wolverhampton ambazo zaendeshwa kwa bajeti ndogo lakini kuna matokeo makubwa sana uwanjani.
 
My predicted lineup for tomorrow’s game away at Leicester
Overall I think we will go back to 5 at the back, as we played a back 4 against Wolves & we played terribly.
Aubameyang is back from his injury that prevented him from playing on Wednesday, so I think he will start alongside Laca tomorrow.
Comment below who you think will play.
COYG
afc_gooners_fan_page-20190427-0001.jpeg
 
Mimi naamini kwenye mfumo wa kukuza vipaji na Ajax Amsterdam wamedhihirisha hivyo.

Tusije kushangaa kuona Ajax wananyakua kombe la CL.

Arsenal na Emery wana haki ya kukuza vipaji na kuviendeleza na wakati huohuo wakisajili wachezaji wazoefu ili kutafuta timu imara na yenye uchu wa ushindi.

Arsene Wenger alikuwa ni mmoja wa makocha bora sana lakini alikosa kitu kimoja kikubwa kwenye suala la usajili kwamba nae alihitaji kusajili kwa akili.

Alikosa hivyo, na alipokuja mkurugenzi wa mpira bwana Sven Mislintat ndiye aliewasajili Matteo Guendouzi na Lucas Torreira ambao wamekuja kuwa baadhi ya wachezaji nyota wa Arsenal msimu huu.

Tusisahau pia kwamba kila timu ina mfumo wake wa biashara au Business Model na unaendeshwa vipi.

Pale Manchester City, mwarabu anaingiza pesa zake kutoka mfukoni na mara nyingi tu wamevunja sheria za matumizi ya fedha za ziada ya "financial play rule'' mara nyingi tu na ni wachezaji wangapi wameuzwa kutoka man City kwenda timu zingine zaidi ya kusajili wachezaji zaidi?

Na sasa hivi Manchester City wanapanga kumsajili mchezaji wa kiungo mkabaji kuja kuziba pengo la Fernandinho aitwae Rodri kutoka Athletico Madrid ambae akagharimu kiasi cha Euro milioni 58!

Fernandinho mwaka huu mwezi Mei atatimiza umri wa miaka 34 na ameanza kuchoka.

Hivyo Manchester City wao wanacheza kihuni kwenye "transfer activities" kwa mfano walitoa pesa mfukoni pauni milioni 60 na wakamsajili Mahrez ili kumzuia asiende Arsenal msimu wa 2017/18.

Sasa hivi Mahrez analalamika kukosa kucheza wanafikiria kumuuza tena lakini watasema asiende kwenye timu pinzani.

Pia pale Manchester City yupo Danilo ambae Manchester City walimsajili kwa pauni milioni 26.5 msimu wa 2017/18 ambae mpaka leo anasugua bench.

Liverpool waliwauza Suarez kwa Barcelona kwa pauni milioni 75 hivi, baadae wakamuuza Phillipe Coutinho pia kwa Barceona kwa pauni milioni 142.

Sasa Liverpool wametumia vizuri pesa waloipata wakasajili wachezaji kama Sadio Mane kutoka Southampton (pauni milioni 34), Mohamed Salah (pauni milioni 36.9) kutoka Roma na baadae wakamsajili beki wao mshahara Virjil Van Dijk kwa pauni milioni 75.

Manchester United wao wakaingizwa mkenge na tapeli wa Ureno Jose Mourinho na tumeshuhudia jinsi walivyotumia kiasi cha pauni milioni 400 kwa wachezaji wapatao 11.

Manchester United wamemlipa tapeli huyo Jose Mourinho pauni milioni 18 kutokana na kuvunja mkataba nae.

Tottenham wao hawakusajili hata mchezaji mmoja katika msimu huu (khasa mwezi January) kwasababu wao wametumia zaidi ya pauni bilioni 1 kujenga uwanja wao pale White Hart Lane na hakuna mtu ambae amepiga kelele kama walizopigiwa Arsenal walipojenga uwanja wao pale Ashburton Grove.

Hivyo kila timu ina mfumo wake wa biashara business model na matumizi ya fedha wanazopata iwe mikopo au fedha za kutoka kwenye akiba benki zinazotokana na mauzo ya tiketi, nguo na vifaa vya michezo au merchandise na vyanzo vingine.

Tujifunze pia kutoka kwenye timu kama Watford na Wolverhampton ambazo zaendeshwa kwa bajeti ndogo lakini kuna matokeo makubwa sana uwanjani.
Mkuu umeeleza vzr kabisa, kuna watu wanadhan kutumia hela sana ndio kujenga timu bora,

Inategemea na wataalamu WA mpira ulionao,

Tumeshuhudia mou akizidiana kidogo matumiz na man city lkn sasa hiv anaenda kumaliza ligi akiwa nafas ya 6,

Tumeshuhudia Chelsea kwakumtegemea mwanamke ktk usajiri wanauziwa Kipa kwa £71m ambaye miez miwili nyuma Madrid alighairi kutoa £18m,,na sasa Chelsea inarudi ilipotoka
 
Back
Top Bottom