Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tunahitaji game 1 ya kushinda kabla hatujatangaza hali ya hatari kwa Chelsea na ndugu zake nyumbu ambao kesho kwa hali ilivyo, Chelsea atapigwa au sare,

Leo tot akisare nitakuja kueleza jambo moja muhimu
 
The Sun say Eric Bailly is set to end his three-year stay at Man Utd by moving to #Arsenal in the summer. Arsenal are set to begin negotiations at £20m. https://t.co/vpuz4lRf23

Emery on replacing Ramsey: "We could replace him with a player from outside, or with a player who is already here who can grow like he did himself. There are players coming through from the academy who are producing good performances & who could progress" #Arsenal https://t.co/2JWDeVvHoE
 
Kazi kwetu sasa kesho inabidi tushinde,na manyua nao washinde

Halafu tufungwe game moja na kushinda moja, then nione kama kuna fans wa chelwowo watakatiza humu
 
Kazi kwetu sasa kesho inabidi tushinde,na manyua nao washinde

Halafu tufungwe game moja na kushinda moja, then nione kama kuna fans wa chelwowo watakatiza humu
Unavyoongea utadhani mna Bonge moja la timu Hahahahahahahahahhahahahahahahahah
 
Unavyoongea utadhani mna Bonge moja la timu Hahahahahahahahahhahahahahahahahah
Wewe mwenye timu ngoja tuone mtavuna nini msimu huu au ndio Yale Yale ya 30 yrs loading

Zimebaki mech 3 utakuja kutuambia mmevuna nini
 
The Sun say Eric Bailly is set to end his three-year stay at Man Utd by moving to #Arsenal in the summer. Arsenal are set to begin negotiations at £20m. https://t.co/vpuz4lRf23

Emery on replacing Ramsey: "We could replace him with a player from outside, or with a player who is already here who can grow like he did himself. There are players coming through from the academy who are producing good performances & who could progress" #Arsenal https://t.co/2JWDeVvHoE

Arsenal walimtaka Bailly wakati wa usajili acheze kwa mkopo na Man U wakakataa yaani wakaona ni bora aendelee kukaa bench.

Labda safari hii Man Utd wanaweza kukubali dau lolote kutoka Arsenal.
 
Arsenal walimtaka Bailly wakati wa usajili acheze kwa mkopo na Man U wakakataa yaani wakaona ni bora aendelee kukaa bench.

Labda safari hii Man Utd wanaweza kukubali dau lolote kutoka Arsenal.
Ngoja tuone safar hii watambania
 
Wewe mwenye timu ngoja tuone mtavuna nini msimu huu au ndio Yale Yale ya 30 yrs loading

Zimebaki mech 3 utakuja kutuambia mmevuna nini
Hahahahahahahahahaha Kesho utajipiga Ban tena tutasikia tu Mkuu AROON ameokotwa kanisani
 
Kama kuna mtu anashida na mkuu AROON amtafute sasa hivi kesho hataonekana humu.
 
Kama kuna mtu anashida na mkuu AROON amtafute sasa hivi kesho hataonekana humu.
Unapiga kelele ukijinasibu una timu bora,
Bado mwez mmoja ligi iishe ,tutaulizana na nitakutafuta popote ulipo,je umevuna nini,maana wewe umeibuka baada ya liver kufanya vzr, hivo nakutambua kama mamluki
 
- Wachezaji wengi kuuzwa au kuondolewa Arsenal ikijiandaa na msimu ujao wa 2019/20
- Nicolo Barella wa Gagliari ya Italia anafukuziwa kuziba nafasi ya Aaron Ramsey.
- Schodran Mustafi anaongoza orodha ya wachezaji wasohitajika.

The one piece of transfer business Arsenal boss Unai Emery MUST get right this summer

Arsenal wanamhitaji nahodha wa Cagliari na kiungo mshambuliaji Nicolo Barella.

Bodi ya Arsenal imemhakikishia kocha Unai Emery kitita cha kutosha kufanya usajili wa aina yake endapo tu Arsenal itafuzu kucheza ligi ya mabingwa wa Ulaya msimu ujao.

Pamoja na mabeki Calum Chambers (yuko Fulham kwa mkopo) na Rob Holding ambae alikuwa majeruhi na sasa amepona, pia yupo beki wa kulia Hector Berellin.

Ipo orodha ya wachezaji ambao endapo Arsenal itawasajili msimu ujao basi Arsenal haitakuwa na shida ya kuwa moja ya timu tishio.

Wachezaji kama mshambuliaji wa pembeni wa Crystal Palace Winfried Zaha, beki wa kati Samuel Umtiti wa Barcelona, Malcom wa Barcelona ni miongoni mwa wachezaji kadhaa aliopo kwenye orodha ya mahitaji kusajiliwa msimu ujao.

Mchezai wa kiungo wa Cagriali Nicolo Barella ndie anaeangaliwa kuja kuziba nafasi ya Aaron Ramsey.

Barella ana uwezo wa kupokonya mipira katikati na kumpasia Alexandra Lacazette ili aweze kufunga, kazi ambayo imemshinda Mesut Ozil kwa kiasi kikubwa khasa kwenye mechi za ugenini.

Kazi afanyazo Barella awapo katikati ya uwanja na timu yake hufanana kabisa na kazi wafanyazo Christian Eriksen wa Tottenham, au Bernado Silva wa Machezster City au Willian wa Chelsea.

Hivyo Iwapo Barella atasajiliwa na Arsenal basi atacheza akiwa mbele ya Granit Xhaka na Lucas Torreira na nyumba ya mshambuliaji Alexandra Lacazette.

Ntaanza kushuka na baadhi ya "target" za Arsenal kwa msimu ujao baada ya mechi na leicester kesho mchana.

Arsenal inahitaji wachezaji kama 5 hivi ili kuwa timu imara zaidi khasa kwenye nafasi ya mabeki, kiungo na mshambuliaji wa pembeni.
 
Msimu wa Marahii unakituko cha Aina Yake!

√ Mechi ya Mwisho itaamua nani ataingia Top 4
√ Mechi ya Mwisho itaamua Nani bingwa

Kabla ya Mechi ya Mwisho Kati ya Manure, Chelsea, Arsenal na Spurs wote wana nafasi ya Kuingia Top 4
 
Tunahitaji game 1 ya kushinda kabla hatujatangaza hali ya hatari kwa Chelsea na ndugu zake nyumbu ambao kesho kwa hali ilivyo, Chelsea atapigwa au sare,
Leo tot akisare nitakuja kueleza jambo moja muhimu

Sare??? Hapa umewapa Spurs heshima kubwa sana ambayo wasiyostahiki.
 
Msimu wa Marahii unakituko cha Aina Yake!

√ Mechi ya Mwisho itaamua nano ataingia Top 4
√ Mechi ya Mwisho itaamua Nano bingwa

Bila ya Mechi ya Mwisho Kati ya Manure, Chelsea, Arsenal na Spurs wote wana nafasi ya Kuingia Top 4
Msimu huu kituko,ila Chelsea akipigwa kesho ligi itanoga ,man u akipigwa atakuwa amejitoa rasmi kwenye mbio za top 4,
 
Back
Top Bottom