milangomitatu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,469
- 1,167
Game yenu na Leicester ni ngumu sana coz nyinyi muna nafasi ya kushinda na wao wana nafasi ya kushinda.
Ila kama mutapoteza kwa Leicester basi nahisi mshindi kati ya Manur na Chelsea ndiye atakayekama nafasi ya 4
Hahahaha mpira unadunda Mkuu
Msimu huu Arsenal Manchester United na Chelsea hawajapata mshindani Mkali toka top 10 ndo maana bado wana nafasi ya Top 4 ila ingekuwa kuna timu kama leicester city 2016 ilikuwa ndo basiNakwambia hv si kwa Chelsea hii kabisa, mi mwenyewe naombea tufungwe hata hizo mechi zote 3 zilizobakia ili tukose top 4 na kombe la EUROPA maana si kwa kuwa na kocha kilaza kama Sari Masigara.
Hv unawezaamini fainali ya carabao tulicheza na Man City dkk 120 bila ya kulenga shuti lolote golini hata 1 tu?
Ss Chelsea ni timu au utumbo [emoji848][emoji26]
yote yanawezekana....ingawa mimi siipi nafasi man kuifunga chelsea japo wote wabovu yaani ni pipa na mfuniko.....maana huyu man u katika mechi nne za mwisho kafungwa goli 10 na yeye hakufunga hata goli la kuotea na barca kachukua 4 ,everton 4,city 2...pia ukiangalia hata ule ushindi wao dhidi ya westham ni wa mazabe tu....walibebwa sanaaaaaaa so nafasi ya nne bado haina mwenyewe na kati ya man,chelsea au arsenal anaweza kuikwaa ingawa kiukweli kwa arsenal ni mlima mrefu kidogoIngawa nina takriban wiki 2 sijaangalia msimamo coz hauna umuhimu kwangu kwani naamini ligi imeshaisha kwamimi! Lakini Je Man United akishinda against Chelsea pia huoni kuwa Nafasi ya Top Four kwa Arsenal bado ipo matatani? Coz Manure bado nafasi anayo!
fan gani anaiombea timu yake ifungwe? Haupo serious wewe, unapata faida gani sasa ikifungwaNakwambia hv si kwa Chelsea hii kabisa, mi mwenyewe naombea tufungwe hata hizo mechi zote 3 zilizobakia ili tukose top 4 na kombe la EUROPA maana si kwa kuwa na kocha kilaza kama Sari Masigara.
Hv unawezaamini fainali ya carabao tulicheza na Man City dkk 120 bila ya kulenga shuti lolote golini hata 1 tu?
Ss Chelsea ni timu au utumbo [emoji848][emoji26]
Kweli kabisa ChifuMsimu huu Arsenal Manchester United na Chelsea hawajapata mshindani Mkali toka top 10 ndo maana bado wana nafasi ya Top 4 ila ingekuwa kuna timu kama leicester city 2016 ilikuwa ndo basi
yote yanawezekana....ingawa mimi siipi nafasi man kuifunga chelsea japo wote wabovu yaani ni pipa na mfuniko.....maana huyu man u katika mechi nne za mwisho kafungwa goli 10 na yeye hakufunga hata goli la kuotea na barca kachukua 4 ,everton 4,city 2...pia ukiangalia hata ule ushindi wao dhidi ya westham ni wa mazabe tu....walibebwa sanaaaaaaa so nafasi ya nne bado haina mwenyewe na kati ya man,chelsea au arsenal anaweza kuikwaa ingawa kiukweli kwa arsenal ni mlima mrefu kidogo
fan gani anaiombea timu yake ifungwe? Haupo serious wewe, unapata faida gani sasa ikifungwa
Wewe sio Chelsea fan bana ...hat kama Sarri anazingua lakini huwezi andika utumbo kama huu..Mimi ni Chelsea fan lkn kwa Chelsea hii ni heri ungeanza kushangilia tu kuingia top 4 kwa kula kuku kwa mirija
Sasa uko top four utaenda kufanya nini? Em acheni ujinga jengeni timu bana...Top 4 lazima tuingie na huu ubovu wetu
Mkuu nipe japo sita kidogo za uyu mnyama.. maana nasikia ni balaa...
Kocha hana skills, tactics wala experience hadi nihamasike kujibebesha presha kwa kikosi kizuri kwa mpira mwingi unaopigwa lkn mwishowe ni "work done is equal to zero"Wewe sio Chelsea fan bana ...hat kama Sarri anazingua lakini huwezi andika utumbo kama huu..
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Msim mpya tuta sajir mkuu,sehem zenye mapungufuSasa uko top four utaenda kufanya nini? Em acheni ujinga jengeni timu bana...
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Hahahahahaha piga mbuzi hawa..Kua mpole bambucha wewe.
Man anakustopisha watu tunazama ndichi
huyo ni hatari arsenal wanamjua vizuriMkuu nipe japo sita kidogo za uyu mnyama.. maana nasikia ni balaa...
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Kumbuka niliwaahidi humu kwa ubovu wa Chelsea tukiingia top 4 ni sawa na kubeba ubingwa wa epl.Wewe sio Chelsea fan bana ...hat kama Sarri anazingua lakini huwezi andika utumbo kama huu..
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Sarri yuko vizuri tu mbona ..ila ni kwamba hatuna wachezaji wenye kasi ya mfumi wake ..ukimcheki Willian kachoka baadh ya mechi ndo anafanya vizuri, Pedro naye ivyo ivyo, beki ndo ivyo za kuunga unga ...na kusajili ndo tumefungiwa ...mimi chelsea kwa sasa itaitaji misimu kama miwili ivi ndo irud tena kweny resi ..hata sasa ukimtoa Sarri na kumleta kocha mwingine tatizo litabak pale pale ..cheki manure kinachowakuta sasa...Kocha hana skills, tactics wala experience hadi nihamasike kujibebesha presha kwa kikosi kizuri kwa mpira mwingi unaopigwa lkn mwishowe ni "work done is equal to zero"
Ndo man ake mjenge timu kwanza ..mambo ya top four kwa sasa fikirieni baada ya timu kuwa imara ..Msim mpya tuta sajir mkuu,sehem zenye mapungufu
Sarri yuko vizuri tu mbona ..ila ni kwamba hatuna wachezaji wenye kasi ya mfumi wake ..ukimcheki Willian kachoka baadh ya mechi ndo anafanya vizuri, Pedro naye ivyo ivyo, beki ndo ivyo za kuunga unga ...na kusajili ndo tumefungiwa ...mimi chelsea kwa sasa itaitaji misimu kama miwili ivi ndo irud tena kweny resi ..hata sasa ukimtoa Sarri na kumleta kocha mwingine tatizo litabak pale pale ..cheki manure kinachowakuta sasa...
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app