Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Sindio matumain mmeweka hapo,unadhan akipigwa man u, kuna wakumzuia city tena
Kwan sasa hiv upo namba ngapHuo ni msimamo wako wewe ..sisi tunaojua hatutaki porojo nyingi ..nafasi yenu ya tano kila msimu huwa inajulikana..
Nina uhakika Man city atakaziwa draw maana Man u atakuwa anaiwaza Chelsea ..ivyo ndo itakuwa nafasi yenu finyu iliyobaki ya kubeba ubingwa..Hivi kwa hii Man Utd hata angesema atanisaidia ungekubali?
Sio kwasasa ,omba man u awasaidien ,lasivyo mtamaliza na point nying bila ubingwaCity kapoteza vs Crystal Palace na Leicester! Hao uliwategemea?
Anything in football can happen.
Tutapambana mpaka mwisho.
Currently nipo no tano, ila nafasi khalisi ya Chelsea ni ya tatu..Kwan sasa hiv upo namba ngap
Huna timu ya kumaliza nafas ya 3, kocha tu mvuta bangiCurrently nipo no tano, ila nafasi khalisi ya Chelsea ni ya tatu..
Sio kwasasa ,omba man u awasaidien ,lasivyo mtamaliza na point nying bila ubingwa
kwa iyo beki zenu zikikatika Leno Naye anapoteana siyo? Huoni De gea kuna kipndi beki za manure zilipotea ila yeye akaibeba timu ..the same kwa kepa pia, kweli nyie hamna kipa ..mna lipazia tu pale ..
Kipa ataonekana bora pale beki zinapo poteana..
Hawa wachezaji wa paund mil 5 ndo mnategemea mje msumbue nao kweny EPL hahahaha ...kwel nyie bado timu ndogo..Talks of Gabriel Martinelli a 17-year-old Brazilian forward who plays for Campeonato Paulists. Reports he will sign for Arsenal this summer for €5m to €10m. Arsenal scouts have been watching the player they see him as a future star. #afc https://t.co/qFpS0Z5Cn9View attachment 1078040
Cheltako ni timu ndogo sana hapo London, ni level za FulhamHawa wachezaji wa paund mil 5 ndo mnategemea mje msumbue nao kweny EPL hahahaha ...kwel nyie bado timu ndogo..
Ndugu na wewe akili hamnazo, kuna goli gani Leno kufungwa la kijinga Jana?au umesimuliwa Mpira, kepa anatunguliwa magoli ya mbali kila wikiendi, Jana Leno kufungwa kwa upuuzi wa mustafi magoli mawili.,hata emery kalizungumza hiloAroon uko wapi jamaa yangu. Umeona pazia lako unalolifananisha na Kepa kila siku.
Hahahahahahahahah mna utani na mpira sana nyie watuTalks of Gabriel Martinelli a 17-year-old Brazilian forward who plays for Campeonato Paulists. Reports he will sign for Arsenal this summer for €5m to €10m. Arsenal scouts have been watching the player they see him as a future star. #afc https://t.co/qFpS0Z5Cn9View attachment 1078040
Ndio tatizo lakutojua Mpira, huyo dogo under 18, ananunuliwa kwa ajiri ya baadae ,Hahahahahahahahah mna utani na mpira sana nyie watu
Mzee naona ume panic kupita kiasi. Yaliyotokea jana yanatokea popote pale na usishangae hata mimi leo ikatokea kwangu japo usitegemee hilo.Ndugu na wewe akili hamnazo, kuna goli gani Leno kufungwa la kijinga Jana?au umesimuliwa Mpira, kepa anatunguliwa magoli ya mbali kila wikiendi, Jana Leno kufungwa kwa upuuzi wa mustafi magoli mawili.,hata emery kalizungumza hilo
Bado wewe una mdomo mrefu hata ubingwa bado,ndio kwanza kama pilau unasikia harufuHahahahahahahahah mna utani na mpira sana nyie watu
Nadhan umeona pazia kepa ,kila ikipigwa IMO, mtamlaumu zari mafegi, na kipa mbovu,Aroon uko wapi jamaa yangu. Umeona pazia lako unalolifananisha na Kepa kila siku.