Unai Emery:
"The doctor said to me in the first half he had a little bit of pain like Thursday and I decided 'ok, it's the moment'."View attachment 1072678
Yohana 3:16
Kweli mkuu, game ya Jana ikihitaji kucheza kwa uangalifu,Pia washabiki wa Watford walikuwa wakimzomea kila mara Torreira alipokuwa akipewa mpira hivyo hiyo pamoja na ile kadi nyekundu kwa Deeney vilimfanya Emery achukue uamuzi wa busara wakati wa mapumziko.
Game la jana lilikuwa ni kutotumia nguvu nyingi kwani kuna Napoli Alhamisi na jumapili tunakwenda uwanja wa Selhurst Park kupambana na Crystal Palace.
Arsenakl inahitaji angalau point 6 tu kufikia 72 ili kuwa na uhakika wa top 4, ila inawezekana kutafuta maximum points yaani hata 78 au 81 ambazo ndo mwisho kwa Arsenal ikishinda mechi 5 zilizobaki.
Ila Priority kwa sasa ni mechi na Napoli ili kufikia nusu Fainali ingine.
afadhali umemsahihishaKweli mkuu, game ya Jana ikihitaji kucheza kwa uangalifu,
Crystal palace anakuja emerates
Yohana 3:16
Mkuu kitambo sana umepotea , barca Leo anashinda ngapiafadhali umemsahihisha
mkuu mi nipo.....messi mbili hv hhhhhhMkuu kitambo sana umepotea , barca Leo anashinda ngapi
Yohana 3:16
Ndio timu yako hiyo...wenzako walikuwa pungufu na bado wamekunyoosha.Mikhitaryan iwobi ndio watu ambao wanatakiwa wawe funguo mashambuliz kule pemben lkn wote wamecheza vibaya kiasi timu inashindwa kuondoka kwa haraka!
Lkn sehemu nyingine ni kwenye midfielder aron ramsey na xhaka hawa wamefeli kuitanua timu inapokuwa na mpira! Ramsey kma namba 10 nadhan tunamjua si mbunifu na timu namna inavypshindwa ku link kuanzia pemben ndio kbsa inafanya asiwe na kazi maalum! Maana huyu ni mchezaj ambae anajua kwenda na movement ila kma hizo move zinakosekana basi hubakia anazunguka tu!
Ila upande mwingine ni kwamba Watford wamecheza vzr wakitumia nguvu kituzuia!
Yohana 3:16
HIVI HUWA MNAJIULIZA MARA YA MWISHO KUCHUKUA KOMBE NI LINI AU MNAKAA TU HAPA MNAPIGA DOMO...wengine mlikuwa hamjazaliwa...[emoji850]Wewe ndezi upo mtaa wa ngapi leo?
Wametunyoosha kivip wakat tumeondoka na 3 pointsNdio timu yako hiyo...wenzako walikuwa pungufu na bado wamekunyoosha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan wewe ulichukua mwaka jana EPL?HIVI HUWA MNAJIULIZA MARA YA MWISHO KUCHUKUA KOMBE NI LINI AU MNAKAA TU HAPA MNAPIGA DOMO...wengine mlikuwa hamjazaliwa...[emoji850]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaendeleaje kwanza ndugu yangu kabla sijaanza kukupa za hapa na pale?HIVI HUWA MNAJIULIZA MARA YA MWISHO KUCHUKUA KOMBE NI LINI AU MNAKAA TU HAPA MNAPIGA DOMO...wengine mlikuwa hamjazaliwa...[emoji850]
Sent using Jamii Forums mobile app
kula kipigo kizito hahahaHIVI HUWA MNAJIULIZA MARA YA MWISHO KUCHUKUA KOMBE NI LINI AU MNAKAA TU HAPA MNAPIGA DOMO...wengine mlikuwa hamjazaliwa...[emoji850]
Sent using Jamii Forums mobile app
nasubiri wanoko wanaopingaHii ni orodha fupi ya save percentage msimu huu premier league:
1)Alisson Becker - 76.19%
2)Hugo Lloris - 73.64%
3)Bernd Leno- 72.81%
4)David De Gea- 71.84%
5)Ederson Moraes - 69.57%
6)Kepa Arizaaga- 66.67%
View attachment 1073663
Yohana 3:16
Kazi kazi hadi ushindi upatikane
Haters will sat its photoshopHii ni orodha fupi ya save percentage msimu huu premier league:
1)Alisson Becker - 76.19%
2)Hugo Lloris - 73.64%
3)Bernd Leno- 72.81%
4)David De Gea- 71.84%
5)Ederson Moraes - 69.57%
6)Kepa Arizaaga- 66.67%
View attachment 1073663
Yohana 3:16