Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kunywa maji uendelee kupumzika mkuu,bado hali yako si nzuri.
 
Ningewapa ushindi wa moja moja kumbe wangenichania mkeka wangu hawa mbwa! Sasa njia nyeupe kwa Man United kuingia top 4.
 
City namkalisha, akijitahidi sana anadraw

Chelsea namkalisha vizuri tu

Arsenane ni kama mbwa koko tu, akiwa nyumbani anabweka sana akiwa kwa watu anaufyata mkia

Huwezi toka ugenini kwa Wolves, Watford, Leicester wala Burnley. Kwenye hizo mechi Arsenane akijitahidi sana anapata points 4

Hapo sijataja Cristal Palace ambary atakuja kwenu, hii ndio timu iliyomlamba City nyumbani, ndio timu ikiyompiga Everton goli za kutosha



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa timu gani wewe manyumbu ushinde

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Ina depend na mfumo ,kwenye 4-2-3-1

DM huwa ni toreira na ndio anafanya vzr sana ,

Wewe umemuona toreira akicheza CM baada ya kuchange kwenda 4-3-3 na 3-4-3 ndio xhaka au Matteo wanacheza DM ,na toka alipopata adhabu DM wanacheza xhaka na matteo

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…