OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Wewe ci una fixture nyepesi bana hahahahaHayabadiliki hata kidogo,
Kumbuka wewe una man city, una mwenzako Chelsea, una Everton, una westham
Msijifariji
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
fixture ina unafuu sema hii tim ndo majangaWana fixture nyepesi sana
Sent using simu mbovu
Teh tehHayabadiliki hata kidogo,
Kumbuka wewe una man city, una mwenzako Chelsea, una Everton, una westham
Msijifariji
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Welcome toUpo nafas ya ngapi kwanza timu yako, maana usije kuwa upo namba 6,unabwabwaja tu hapa
Kama ni cheltako , una point 9 lazima uziteme
Sasa endelea kuropoka
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Mkuu hawa jamaa wananichekeshaga sana kwa kweli hahahahahahahahah
Sio top 4, nafas ya 3 kabisa
Lt11 adhabu yake imeisha Leo,
Next match atakuwepo, xhaka pia atakuwa amerejea
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Kwa sasa kuanza kwa elneny na Guendouzi kwenye midfielder sina shaka nao kwan hata pre-season imecheza sana iyo combo na aina ya mpira unachezwa na kukaa sana na mpira eneo la kati kati ambako kwa game za ugenini kukaa na mpira kunapunguza sana joto la wenyeji. Kati kubwa watakuwa nayo ozil mikhitaryan maana wao ndio wanatakiwa kuingia shimoni pale kati kati na kuinyanyua mipira kwenda nayo mbele kwa haraka!
Uku zile wingback zetu zikiwa zinapenya kuelekea mbele wkt wakina ozil wanawapokea midfielder mipira!
Kwa sasa wachezaj wetu wanahutaji kukusanya point tu hakina kingine!
Guendouzi na Elneny
Hawa viungo watabaka kwenye nafasi lkn watatumia mda mwingi kucheza mpira, ninavyojua mm kwa ufahamu wangu mdgo ni kwamba timu ya arsenal haina mtu anaefanya kazi ya kukaba ila timu inavopeteza mpira wachezaj wote wanageuka wakabaji na ndio maana inafika wkt laccazete ana pata kadi ya njano amefanya faulu nyuma kbsa. Wkt xhaka anatoka hata kadi hana.
Kwenye jambo hili la kutokuwa na Mkabaji kpnd cha unai Emery nime prove hapa
Timu ikimkosa Torreira inashinda
Timu ikimkosa ramsey inashinda
Timu ikimkosa xhaka inashinda
Timu ikimkosa Guendouzi inashinda
Timu ikimkosa elneny inashinda.View attachment 1065042
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Ahaha yan mkuu ligi ya mwaka huu kweny vita ya top 4 ni hatar sana.....kama hapa tayr mahesab yanabadilika tena
😅😅😅😅😅😅😅😅😅Everton wamenisaidia kuukata huo mdomo wako mrefu mkuu.😂
Everton vs Arsenal
Score: 1 - 3
Pierre liquid (hat trick) 92' 93' 94'
Min: 90+5
Match over!!
Sent using Brain
Mngepigwa 4-0hakuna namna wamestahili kushinda maana zile attempt hatari na zakutosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Natamani ungejua nilichokiandika kabla hujadandia hoja