Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kama tunavyofaham ndugu zangu, kila wikiendi lazima kue na sadaka moja ya EPL. Mech ya liverpool ile ilikua ina uzito sana sana mana timu zote zilikua kubwa. Mjiandae kisaikolojia.
Sadaka ya Epl ya leo ni nyie
Washabiki wa Nyumbu fc
Ni ramli tu ndio kazi yenu kwa sasa

All in all sioni mkiingia big4

13SEPTEMBER
 
Leo wasiwasi Wangu Mkubwa ni sehemu ya Kati ya uwanja centre midfielders wetu wa Leo wote niwatu wakuhamahama Sana maeneo yao ,inabidi kue na Mtu wakusema nao sana unai inabidi Leo apige kelele kwelikweli. Kila lakheri wanangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Washabiki wa Nyumbu fc
Ni ramli tu ndio kazi yenu kwa sasa

All in all sioni mkiingia big4

13SEPTEMBER
Mkuu tunaingia tena mchana kweupe. Arsenal na chelsea ni ishu ya ratiba tu kwao na kupata pesa za kuangalia mech ila uhalis upo tayar
 
Mkuu tunaingia tena mchana kweupe. Arsenal na chelsea ni ishu ya ratiba tu kwao na kupata pesa za kuangalia mech ila uhalis upo tayar
Hahaha bas sawa mkuu yetu macho
Tuweke akiba ya maneno


Vp leo jamv haujatandika?

13SEPTEMBER
 
Watu walikuwa wanasema unai ana ugomvi na ozil ila unai mwenyewe alisema mara nyingi anahitaji ozil awe bora zaidi na akamsugua saiz tunaona sasa ozil anavyojituma hata asipokuwa na mpira na jinsi anavyocheza akiwa na mpira.. Amekuwa ozil ngangari..

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Back
Top Bottom