Mkuu kwa namba 3 tunahitaji mtu pale ,maana nacho anasepa anabak kolasinac pekee, na kolasinac huwa huwa ana majeruhi Mara kwa Mara, hivo kwa msimu ujao lazima tuingie sokon kutafuta fullback experienced kama Tagliafico, Alaba , hatuwez kuwa serious kama tutabak na kola halafu wakumsaidia awe kinda,
Kwa beki namba 2 tusiponunua sitashangaa maana belle akirud , atasaidiana na Dogo Ainsley Maitland Niles ambaye binafs namkubali akicheza kama WINGBACK , na Sio kama Bek namba 2
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba