Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Mkuu Alaba bado yupo njema sana kwanza ndio ana miaka 27,
Halafu Alaba kama full back bado atatusaidia maana akitoka Kolasinac , shughul ni ile ile,
Chakuomba bodi iwe serious ,maana tayari mwenye Alaba alishasema Yeye ni shabik wa arsenal na siku moja anataman kuchezea Arsenal.
Ujio wa Harnandez unaweza kutupa nafuu kumpata Alaba kwa bei nzuri tu,
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba



️