Arsenal tulizingua mnoo kuachana na bwana steve.
Sent using
Jamii Forums mobile app
Inasemekana jamaa ana kiburi sana ,maana alishidwa kuelewana na wenzake kina RAUL na EMERY,
Kumbuka hata BVB alizinguana na TUCHEL,
Anataka akikutajia watu msijadili ,mfano inasemekana kina emery na Raul walimtaka Denis Suarez, yeye akawa hamtaki pia kuna majina alipendekeza kama Nicolas Pepe, Cengz under , Sasa Arsenal ikashindwa kuwanunua maana UEFA FAINANCIAL FAIR PLAY ilikuwa inatubana kununua ,labda kukopa tu,
Wage bills ilikuwa inatakiwa isizid 7% ,ya mapato ya klabu, na tayari Wenger kabla ya kuondoka alikuwa amewapa mikataba wachezaji wengi kama kina ozil 350k , na klabu haikufuzu UCL hivo tukapungua kwenye INCOME ,
Yeye Sven kaja akawa hajui hii issue ,akataka wale alio warecruit waletwe , akaambiwa kwasasa hatuwez kununua.,maana itatakiwa tuwalipe mishahara na tutafungiwa kama inavyotokea kwa Chelsea , japo situation tofauti ,
Option ikawa either tuwauze wachezaji wenye mishahara mikubwa then ndio tununue kwa dirisha la January,
Na kama unakumbuka kukawa na mzozo Ozil auzwe ili kuweka gape la mishahara, maana angeuzwa kwa mshahara wake wa 350k, unaleta wachezaji hata watatu na unawalipa Hugo mshahara,
Option nyingine ikawa tuchukue wachezaji kwa mkopo then mwisho wa msimu ndio tuwanunue jumla kama tutaridhika nao, vilabu vingi vilikataa vikitaka tununue jumla,
Barca tulivutana sana mwisho wakamruhusu Denis,
Kina persic, carrasco tuliwakosa vilabu vyao vilikataa,
Bwana Sven akaona miyeyusho Akasepa , lakin ilikuwa ni jambo la kuelewana tu,
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba