Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,059
- 61,316
Kwanini unateseka?😂😂😂😂Mchezaji gani aliyetoka Manure akaenda arsenal akang'aa? Apo Herrera akikubali atakuwa anejivunjia heshima sana ..kuchezea arsenal ni sawa na kukosa option tu kwenye maisha..
Sent using Jamii Forums mobile app