Pierre-Emerick Emeliano Francois Aubameyang,kazaliwa 18 June 1989 kwa sasa ana miaka 29 ,Baba akiwa raia wa Gabon na Mama raia wa Hispania anayefahamika kwa jina la l Margarita Crespo Aubameyang.
Aubameyang anapokea kiasi cha £ 200,000 /= kwa week moja pekee, kwa mwezi anachukua kiasi cha £ 1,000,000/ hii ni sawa na Tsh 3,115,351,985.31.
Kijana huyu ana ugonjwa wa kupenda vitu vizuri ndio maana ana magari yote ya kifahari, Aubameyang anatembelea Ferrari Sports Car ya 2013 inayouzwa £ 1 Million ,yenye Power 950 BHP, Total Speed 227 MPH,uzito wa 1225KG .
Aubameyang anamiliki Ferrari ya 499 ,hii ndio idadi ya ferrari zote duniani,gari hizi zinatoka kwa nambari na hazitangazwi kwenye magazeti wala TV.
Aubameyang ,anajua kuwa na vitu vizuri ndio maana anamiliki mke mzuri anayeitwa Alysha Behague.
Duniani tunapita tu , mtu unatakiwa uishi unavyotaka wewe ndio maana Aubameyang ,anaishi maisha yake kwa furaha starehe na anasa sababu kila week anainginza £ 200,000/= .
Kwa lugha ya kifedha kama asemavyo George Soros katika kitabu chake cha ,The Alchemy of Finance ,"Scientific method seeks to understand things as they are ,while Alchemy seeks to bring about desired state of affairs, ".
Tutaendelea kumsoma Aubameyang......
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba