Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

In the three seasons prior to his injury problems, Santi Cazorla managed 27 goals & 37 assists. Only 32 out of those were with his stronger foot. Yes, 50% were with his right, 48% with his left & 2% were headers. He takes the term both footed to the next level.

Tell me you know these

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Kuna watu nilikuwa nainjoi kuwatizama katika arsenal hii ya maji kupwa ya wenger basi ni fundi cazorla, jamaa naona km alikuwa underrated, bonge la player anatumia miguu yote ipasavyo alikuwa ananikumbusha Alexander hleb.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atawafunga nyie

Unambeza Auba mwenye magoli 22 na assist ,

Hapo Chelsea nan ana magoli kuzid Auba?

Auba kwanza hiyo timu wanamlazimishaga hanaga time nayo anacheza basi tu, yaan ajitume aumie Aache kuipigania Arsenal inayompa paun laki 2 kwa wiki ,na bonus ya paun elfu 50 kila arsenal inaposhinda ,ahangaike na Gabon ? Unamjua auba unamsikia?

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Uyo Auba ni msaliti na dhambi ya usaliti itamtafuna..anaacha kupambania timu yake ya taifa kisa Ass Anal!!? Yani Burundi timu ya mchangani uyo limbukeni kashindwa kuifunga kisa maslahi tu. !! Nini maana ya uzalendo sasa..

Auba ni sawa na kawasaliti wazazi wake tu..

Pumbavu kabisa Auba..anashindwa hata na Samatta..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe kweli kiazi kabisa,

Haya kapambane na Chelsea yako mbovu ,

Maana mshakuwa jamvi LA wageni

Nakuomba fainal nikuzabue goli 3

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Tangu ushinde ile gemu ya Man United unajiona una timu ñzuri..umegeuka kuwa mpiga kelele ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu ushinde ile gemu ya Man United unajiona una timu ñzuri..umegeuka kuwa mpiga kelele ..

Sent using Jamii Forums mobile app
Toka nikufunge 2-0 wewe na timu yako mbovu

Hivi next match una nani tena ,maana siku hizi mnachezea vipigo tu

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Uyo Auba ni msaliti na dhambi ya usaliti itamtafuna..anaacha kupambania timu yake ya taifa kisa Ass Anal!!? Yani Burundi timu ya mchangani uyo limbukeni kashindwa kuifunga kisa maslahi tu. !! Nini maana ya uzalendo sasa..

Auba ni sawa na kawasaliti wazazi wake tu..

Pumbavu kabisa Auba..anashindwa hata na Samatta..

Sent using Jamii Forums mobile app
Msaliti wa wapi, hiv unawezaje kumpangia mtu maisha , kwanza hata kuichezea Gabon kaonesha uzalendo, kwani anacheza peke YAKE mpaka aipeleke AFCON?

Usichokijua auba maisha YAKE yote kakulia ufaransa, kuchezea Gabon alifanya uzalendo,

Ila hiyo timu haimthamini , hata salah hayo mambo yamemkuta hapo misri, huwez kuwa treat watu wanaolipwa £200,000 kwa wiki , sawa na watu wanaolipwa million 5 za kibongo kwa mwezi,

Auba amezoea starehe kawahi kurud arsenal apambane ashinde aweke bonus ya paun elfu 50.

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Kuna watu nilikuwa nainjoi kuwatizama katika arsenal hii ya maji kupwa ya wenger basi ni fundi cazorla, jamaa naona km alikuwa underrated, bonge la player anatumia miguu yote ipasavyo alikuwa ananikumbusha Alexander hleb.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa mpaka Leo haijulikan anatumia mguu gani

Nilikuwa namuelewa sana muda wote anapenda mpira uwe kwake , dah huyu fund tutammis sana

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Ander Herrera could be off to Arsenal on a free transfer if the Spaniard leaves Manchester United this summer.(daily mail)

Huyu MTU tukimpata itakuwa poa sana, Emery anapenda wahispania sana,

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Kikos kinachoanza mechi dhid ya Al nasr

IMG-20190326-WA0029.jpeg

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Tunakimbizana na PSG kumpata huyu MTU,
Iwapo hataafikiana na man u kuhusu mkataba wake unaoisha mwisho wa msimu huu
IMG-20190326-WA0030.jpeg

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Baada ya kukamilika kwa dili la Adidas LA paun mil 60 kwa mwaka, hizi ni sample ya jezi za next season
IMG-20190326-WA0015.jpeg
IMG-20190326-WA0017.jpeg
IMG-20190326-WA0019.jpeg
IMG-20190326-WA0023.jpeg

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Lacaa 2
Ozil assist ya kisigino

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
And now we lead!

️ @LacazetteAlex with a left-footed strike
@MesutOzil1088 with a backheel flick

Al-Nasr 1-2 Arsenal

#ArsenalInDubai Arsenal FC on Twitter

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Uyo Auba ni msaliti na dhambi ya usaliti itamtafuna..anaacha kupambania timu yake ya taifa kisa Ass Anal!!? Yani Burundi timu ya mchangani uyo limbukeni kashindwa kuifunga kisa maslahi tu. !! Nini maana ya uzalendo sasa..

Auba ni sawa na kawasaliti wazazi wake tu..

Pumbavu kabisa Auba..anashindwa hata na Samatta..

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungekaa kimya mkuu. Auba alikataa kuchezea France sababu ya Gabon. Alizaliwa France na kukulia France ila alikataa kuichezea France licha ya kwamba aliwahi itwa enzi hizo anaanza kutoka.
Yule Nditi wetu alikuwa chelsea alikataa sasa hivi sijui hata kama ana timu.
 
Nimeulewa sana uzi wa Kwanza na huo mwekundu. Naona kila mwaka jamaa wanazidi kufanya maboresho ya Jezi zao.
COYG 💪💪💪💪💪
 
Huyo kashachanganyikwa na zari ball, hakuna anachoelewa kwa sasa

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Nimeulewa sana uzi wa Kwanza na huo mwekundu. Naona kila mwaka jamaa wanazidi kufanya maboresho ya Jezi zao.
COYG
Adidas wapo vizur kuliko puma kwenye jezi, puma wanazidiwa hata na nike

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Tunakimbizana na PSG kumpata huyu MTU,
Iwapo hataafikiana na man u kuhusu mkataba wake unaoisha mwisho wa msimu huuView attachment 1054548

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Mchezaji gani aliyetoka Manure akaenda arsenal akang'aa? Apo Herrera akikubali atakuwa anejivunjia heshima sana ..kuchezea arsenal ni sawa na kukosa option tu kwenye maisha..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom