Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

WELL DONE TEAM ....HAKIKA LEO NIMEONA TACTICAL GAME TOKA KWA KOCHA WANGU UNAI NA NILIAPA NA NIKAAPA KUWA KAMA UNAI ATAFANYA VIZURI KATIKA TACTICS ZAKE NA SELECTION NZURI YA KIKOSI NA TEAM IKAPATA MATOKEO BORA NITAMSIFU ILA SIKU AKIHARIBU TACTICS NA SELECTION YA TEAM NA TUKAPOTEZA GAME KIJINGA NITAANZAJE KUMFICHIA MAKOSA??,,......

1. SELECTION YA TEAM
HAPA LEO SIKUWA NA WASI KWANZA MWALIMU AMEPANGA TEAM KWA KUJUA AINA YA ADUI ANAEKUTANA NAE NDIO MAANA WENGI TULIJUA LEO KIUNGO INGEKUWA NA XHAKA NA MATHEO ILA MWALIMU KAJUA AINA YA VIUNGO WA MAN UTD POGBA MATIC NA FRED NI WATU WA KAZI NA NGUVU NA KASI NDIO MAANA GHAFLA XHAKA NA RAMBO WAZOEFU WA HIZI GAME WAKAPANGWA KUANZA KATI..
HII NI ZAID YA MBINU BORA ZAID NIMEIONA LEO TOKA KWA MR UNAI.
KUMPANGA OZIL NYUMA YA DOUBLE STRIKER AUBALACA NI KITU BORA ZAID KWA WATU TUNAOJUA NAMNA OZIL ANAJUA KUUNGANISHA KIUNGO NA STRIKER HASA KWA TEAM AMBAYO INAHITAJI KUSHAMBULIA MUDA WOTE .
HAPA WENGI TULIHIS ANGEANZA NA SINGLE STRIKER ILI IWOBI AANZE ILA UNAI AKAJA NA TACTICS NZURI ZAID NA YENYE KUMPA UHAKIKA NA AKAFANIKIWA HAPA PIA NAMPA BIG UP..

2. SUBSTITUTE
MR UNAI ALIFANYA SUB YA KUMTOA AUBA NA KUMUWEKA DENIS ILI KUONGEZA NGUVU KATIKA KIUNGO NA PIA KUONGEZA MTU WA KUPUSH TEAM MBELE PIA NA DENIS ALIFANYA HILO KWA ASILIMIA 70 KWA DAKIKA ALIZOCHEZA HAKIKA ALIONESHA KUCHEZA KWA MAELEKEZO ZAID
ALIMTOA OZIL NA KUMLETA IWOBI ILI KUONGEZA PUSH NA HALI YA KUFANYA HUDUMA YA MBELE HAIPWAYI NA KWELI IWOBI ALIFANYA RUN MOJA BAADA YA KUWEKEWA PASS SAFI NA DENIS NA ILIKUA KIDOGO IZAE MATUNDA ..
LACA FOR NKETIA NI MAJIBU YA MAN KUTUWEKEA GREENWOOD ......MR UNAI LEO NAKUPA CREDIT ZOTE MBINU UMEWAPA VIJANA NA WAO WAMEKUJIBU KWA VITENDO ONGEZA ZAID KUWAJENGA USIRELAX UKAJISAHAU MIMI NITAKUSIMANGA TU KAMA UTAJIYUMBISHA MWENYEWE .....MDOGO WANGU GUNDOUZ LEO KAACHWA MAANA KATIKAT ILIKUWA SHOW YA KIBABE.

NEXT GAME VS RENNES I WISH SELECTION YA TEAM NA MBINU BORA ZIKIFANYWA NA MR UNAI BASI ROBO FINAL ILEEEE!!
DENIS AONGEZEWE DAKIKA
COMBI YA LACAUBAM IPEWE NAFASI
KOLA ASIKAE NJE BILA SABABU YA MSINGI
KOS ANAONYESHA KWANINI NI SKIPPER
LENO WAJERUMANI FANI YAO UKIPA
NILES NI OPTION BORA KWA RIGHT BACK KUZID MUSTAFI

WELLDONE MY LOVERLY ARSENAL
COYG
IMG-20190310-WA0029.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aubameyang: "I did a mistake at Tottenham, I didn’t watch at the last minute, didn’t look at Loris. That was my mistake but today I watched him, waited & scored. I didn’t look at the ball because I know where it is". WHAT A MAN. #afc @aubameyang97

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Man Utd

FA quarter finalist

UCL quarter finalist

In the top 4 race

What more could we ask

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuitoa PSG mnaona kama mshazitoa Barcelona...Bayern..Juve...Atletico..Spurs...liverpool na sasa mnacheza fainali na Sunderland...na hata ingekua hivyo bado 98% hazijafika.

Chelsea anashinda kiporo chake

Unarud mtaa wa 6

Man city anakubaka kwenye ligi na ukibahatika kuvuka FA

Mwisho wa msimu unaenda FUTUHI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KWELI JANA TULIZIBA MIANYA YA COUNTER ATTACK KWA ASILIMIA KUBWA

Xhaka: "Now we’re back in the game. We had to learn from our mistakes that we made against Manchester United in the FA Cup. We played well but they were always dangerous on the counter-attack and today with five at the back we were more compact." #AFC #Arsenal

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aaron Ramsey is @premierleague Man of the Match:

• 8 tackles - most in match

• 12 duels won - most in match

• 12.7km covered - most in match

Attempted tackles in a PL match for the 1st time since September 2013
IMG-20190310-WA0029.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuitoa PSG mnaona kama mshazitoa Barcelona...Bayern..Juve...Atletico..Spurs...liverpool na sasa mnacheza fainali na Sunderland...na hata ingekua hivyo bado 98% hazijafika.

Chelsea anashinda kiporo chake

Unarud mtaa wa 6

Man city anakubaka kwenye ligi na ukibahatika kuvuka FA

Mwisho wa msimu unaenda FUTUHI

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi elewa masuala ya Champions League kijana wa Europa. Hapo nitahitaji wenye timu zao, hizo ulizotaja nifanya mjadala nao

Ni sawa na shabiki wa mbao aongelee mambo CAF champions League

Chelsea kushinda ni habari mbaya kwako, tatizo la ushabiki chuki.... Unaichukia United kwakuwa huwa unashughulikia mpaka unasahau Chelsea akishinda anakupa presha kwenye mbio za top 4

City mwenyewe anaogopa, wewe alikulamba nje ndani unafikiri atajaribu pale United?

Futuhi is made for Arsenane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi elewa masuala ya Champions League kijana wa Europa. Hapo nitahitaji wenye timu zao, hizo ulizotaja nifanya mjadala nao

Ni sawa na shabiki wa mbao aongelee mambo CAF champions League

Chelsea kushinda ni habari mbaya kwako, tatizo la ushabiki chuki.... Unaichukia United kwakuwa huwa unashughulikia mpaka unasahau Chelsea akishinda anakupa presha kwenye mbio za top 4

City mwenyewe anaogopa, wewe alikulamba nje ndani unafikiri atajaribu pale United?

Futuhi is made for Arsenane

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaongea non sense

Umeongea utumbo mkubwa

Namba 6 inakuhusu

Futuhi lazima msimu huu uende

Huna timu ya kupata hata sare kwa man city,

Sasa Chelsea ananipa presha gan nishamalizana nae, na ana mech na liver na wewe manyumbu

Huon nafas ya 6 ndio rasmi umekaa maxima, wakat mm naingia nafas ya 3 bila bugdha.

Mwez wa 5 utakuja kuniambia hapa, endelea kubwabwaja

Ulichambua upuuz kibao kuwa mnashinda, umeaibika,

Sasa hiv umekuja na ngonjera nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Emery

"We knew United could use different tactics but we wanted to impose our gameplan & we did that. I want to say thank you to our supporters because they helped us a lot & I think we can create a big atmosphere like today in the next matches because I think its very important" Gurjit on Twitter


Emery on the win:

"I'm very proud of our players. They gave all they could against the best team at this moment. We were playing very competitive for 90 minutes & I think we deserved this victory. We can be happy today" #Arsenal Gurjit on Twitter
IMG-20190310-WA0020.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom