Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

kwani arsenal mnakwama wapi ndugu zetu?

niwatoe wasi was tuu, ijimapili tutawafunga goli chache tuu kuanzia goli 3 na kuendelea nadhani zitawafaa sana😀😀
 
polen sana
IMG-20190308-WA0002.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ole ameshasema martial yuko fit...herrera pia na matic.....tutasamehana tu kidogo jaman hio jumapili

Wasisahahu tu pogba yupo kwenye form of his life
Lukaku nae anapiga goli mbili mbili tu mechi kama ya tatu hii
Hawa ndugu zetu watapata tabu sana


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tumaini pekee walilonalo Arsenal ni kuwa hii game inacheza nyumbani kwao mahali ambapo wamepigwa na Man United mechi ya mwisho na wakati huohuo Man United hii inashinda zaidi Ugenini toka iingie ktk mikono ya Ole.Hapo ndipo hata tumaini linaingia mashaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lazima mtueleze jumapili kwanini mnafata mkumbo na kuita" manure" baada ya" man u"
 
Arsenal's defence looks like elders' tribunal >>> 1.Petr Zcech.......37 years, 2.Nacho..........33 years, 3.Lencheistner.........35 years, and 4. Koscielyn.........34 years. >>> Total 139 years at the back....
 
Arsenal's defence looks like elders' tribunal >>> 1.Petr Zcech.......37 years, 2.Nacho..........33 years, 3.Lencheistner.........35 years, and 4. Koscielyn.........34 years. >>> Total 139 years at the back....

Duh

Hawa jamaa wanaitaji fungu kubwa tu kudili na hilo tatizo la uzee huko beki sasa tatizo unakuta fungu kocha anapewa 50 mil tena kwa ajili ya dirisha kubwa la usajili

Tabu wanayo ahahaha
 
Monreal kama kafungwa mafurushi ya mchanga miguuni next game apangwe sead kola and jenkison atleast alafu sid asipande kabisa
 
Back
Top Bottom