HahaaaHaya ndio matokeo ktk kipindi hiki ukipata kitoga unajibigia daaaah yaani eti hawa ndio waliowapiga 4 chelsea
Sent using Jamii Forums mobile app
Karib sana ..kwetu pazuri..Shughuli ishaisha ngojea tukawatembelee majirani zetu Chelsea.
Huyo mchumba tu kama.wewe,Hahaha huyu niliyempiga leo anacheza na wewe jumamosi ..sasa sioni wapi mtatokea ..
Come one Spurs..
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan huyo tot nitamkaranga vzr, kama nilivyomkaranga bono aliyekupiga 4-0Hahaha huyu niliyempiga leo anacheza na wewe jumamosi ..sasa sioni wapi mtatokea ..
Come one Spurs..
Sent using Jamii Forums mobile app
Spurs hawezi pigwa Mara mbili kizembe..Huyo mchumba tu kama.wewe,
London derby zote mm ndio mfalme wake
Ndio mech ambazo nacheza kufa na kupona
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajifarij lkn ukweli unaujua , kuwa huna ubavu wa kukaa hata namba 5,Spurs hawezi pigwa Mara mbili kizembe..
Wewe pambana usitoke top Six ..maana top four ndo hivyo tena, huna maisha marefu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha Huwa mnagawana gemu na Spurs ..mkishinda ya kwanza yeye atashinda ya pili..Yaan huyo tot nitamkaranga vzr, kama nilivyomkaranga bono aliyekupiga 4-0
Mkuu nikupe siri mechi ambazo arsenal anazijua kuzicheza na anazipigania kufa na kupona bas ni LONDON DERBY ,
Mechi ambazo tunacheza vzr ila hatuzipiganii ni mech kutoka manchester
Hivo usitarajie huyo tot atanipiga kirahisi,
Hapo hapo wembley anakaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao liver na man u unawaogopa sana..Unajifarij lkn ukweli unaujua , kuwa huna ubavu wa kukaa hata namba 5,
Spurz anakufa vzr ,naenda kukaa namba 3,
Ww umeshinda leo, game ijayo kichapo maana game za ugenini huziwez,
Ww pambania namba 5, mm top 4 sitoki ndio kwaher,
Siku utakapocheza na liver na man u
Ndio siku nitakayokutimulia vumbi kwa tofaut ya point 6 na mech zitakuwa zimebak 2
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaHao liver na man u unawaogopa sana..
Yeyote anayekatiza mbele ya chelsea ni halali yetu..
Kwa sasa hatuna muda wa ugenini au nyumbani...
Sent using Jamii Forums mobile app
Si juzi tu nimekupapa 2-0 tena kwako... unategemea uje uushinde OT?Hao liver na man u unawaogopa sana..
Yeyote anayekatiza mbele ya chelsea ni halali yetu..
Kwa sasa hatuna muda wa ugenini au nyumbani...
Sent using Jamii Forums mobile app