Enlightenment
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 1,321
- 3,307
Hawa jamaa huwa wanatupiga nyingi, sijui weekend hii zitakua ngapi, japo kwenye mpira kuna maajabu yanaweza kutokea ila kwa hiki kikosi chetu sioni muujiza kutokea.Weekend hii tupo hapo Ethad na Man city sijui tutakula ngapi dah,ila ndiyo hivyo tumeipenda wenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
