Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
No no noo brother Giroud hawez kuongea hiv hata kama bado ana mapenzi na timu.Oliveir Giroud on Bien Sport: “I can never play well against Arsenal. I made a few passes to Arsenal players because I still feel part of the team.”
Sent using Jamii Forums mobile app
Usikatae inawezekana, hukuona alivyoshangiliwa na mashabiki kwa furaha alipokuwa akijiandaa kuingia.Giroud ni konki pale kakaa muda.No no noo brother Giroud hawez kuongea hiv hata kama bado ana mapenzi na timu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chief, sijapinga kushangiliwa kwake ila Giroud kama professional player tena akiwa na mkataba hai na chelsea hawezi kusema maneno kama haya "I can never play well against arsenal...... i made few passes to arsenal players cuz i still feel part of the team".Usikatae inawezekana, hukuona alivyoshangiliwa na mashabiki kwa furaha alipokuwa akijiandaa kuingia.Giroud ni konki pale kakaa muda.
Imagine thierry Henry alipoenda Barca ikiwa anacheza na arsenal kitu fulani kilipungua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili dili lishabuma nini.Baada ya kumalizana na Denis suarez ambaye anaweza kutangazwa wiki hii, hasa jumatano au alhamic ,maana ndio siku tunazotambulishaga wachezaji
Sasa dk hiz za lala salama tunamgeukia James
Arsenal 'trying' to sign James Rodriguez. [@Kike_Marin_]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata sasa madogo wanapata nafasi sana kwa Emery.Ifike muda sasa Unai ajilipue kama ilivyo kuwa kwa Van gal.
Nakumbuka Van gal alipo ona wakina RVP na Roney hawana msaada akaamua kuwaibua wakina Rashford.
Kama ameweza kumsajiri na kumuamini Guadouz kwanini asifos kuwaamini wakina Saka!!?
Nakumbuka mwaka ambao Sagna ameondoka na Debuch akapata injury huku Jenko nae akiwa wodini bado ndo hapo Wenger alipo muibua Belle
Sent using Jamii Forums mobile app
Timu bahili hii wapare wanasubiri aisee[emoji39], hadi hasira.Bado tunasumbuana na Barca, wanataka kutufanyia ,umafia, ila taarifa iliyotoka inasema Tunafoc tena ,taarifa kutoka kwa Belague inasema tumeshindwana, ila bado tunapambana tusishikishwe
Arsenal sio wajinga aisee Barca walituwekea condition ya kumchukua Denis Suarez kwa mkopo halafu summer tuje tumnunue kwa €20M-€25M kitu ambacho
Arsenal wameona ni kama Barca wanataka kuwaongezea hela kwenye matumizi yao waliyopanga kuyafanya summer
Mimi kwenye hili nipo pamoja na Arsenal yaan mchezaji abakishe mwaka 1 kwenye mkataba wake halafu tulazimishane kumnunua kwa bei mnayotaka nyinyi....Hii biashara watakaofanya ni vichaa pekee yakeView attachment 1002733
Sent using Jamii Forums mobile app
Timu bahili hii wapare wanasubiri aisee[emoji39], hadi hasira.
Wametoa sababu lknTimu bahili hii wapare wanasubiri aisee[emoji39], hadi hasira.
Harika weee [emoji39]Harikaaa😳
...Barcelona wanaforce kutuuzia kabisa baada ya mkopo ambapo arsenal wanatakiwa kulipa 20-25 kwa mchezaji kama yule na atakuwa kabakiza mwaka mmoja katika mkataba wake ....Timu bahili hii wapare wanasubiri aisee[emoji39], hadi hasira.
Kwani huyo mchezaji sio mzuri?...Barcelona wanaforce kutuuzia kabisa baada ya mkopo ambapo arsenal wanatakiwa kulipa 20-25 kwa mchezaji kama yule na atakuwa kabakiza mwaka mmoja katika mkataba wake ....
Hii biashara bora ife kabisa na ife kama ilivyokufa maana tutaibiwa live tunaona
Sent using Jamii Forums mobile app
Kusema ukweli ni Average playerKwani huyo mchezaji sio mzuri?
Sasa mbona Emery anamng'ang'ania huyo dogo wakati Sven alikuwa na option nzuri zaidi?Kusema ukweli ni Average player
Labda aje awe mzur zaid akija arsenal ,
Sasa hapo ni 50/50 ,na ni injury prone , sasa barca wanatulazimisha watukopeshe ila summer tumnunue kwa lazima, ndio kitu arsenal hawataki kuingia mkenge
Maana summer tunahitaj kuleta watu ,sasa tununue mtu kwa 20-25 aliyebakiza mwaka mmoja , halafu haina uhakika kama ata perfom au atadumu maana ni majeruh kila mara
Arsenal hawataki kuingia hasara za kijinga tena, barca washakuwa wafanya biashara sasa hiv
Sent using Jamii Forums mobile app
Emery na Raul ndio wanamuhitaji ,ila barca ndio wanaweka ugumu, Kuna mawil anaweza akafanya vzr au akazingua, ndio maana arsenal nao wanajiweka kwenye mazingira yakutojifunga ili summer wasijikute wametumia hela nyingi,Sasa mbona Emery anamng'ang'ania huyo dogo wakati Sven alikuwa na option nzuri zaidi?
Wanachokitaka arsenal , iwapo kufikia summer hawataridhika na uwezo wa denis, basi arud zake barcaSasa mbona Emery anamng'ang'ania huyo dogo wakati Sven alikuwa na option nzuri zaidi?