Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sidhani kama Fulham wataweza kurudisha magoli miwili.
 
Torreira 4-3-3 formation inamsumbua hasa anapochezeshwa kama Right midfielder anakuwa hachezi vzuri pale anapocheza xhaka ndo anatakiwa acheze yeye sasa ila sio anapochezeshwa kwenye hizi gemu 4 zilizopita...anyway tumeanza mwaka na ushindi 4-1 is the perfect results for us next game Blackpool FA cup

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hiyo ni temporary kulingana na game.

Ndo maana alianzia bench.
 
Hata mgonjwa akipata ahueni, si huwa anataka hata kusimama mwenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…