Mkuu nadhani kufungwa Goli 5 ni zaidi ya kudhalilishwaaa... huyu anamalizia tu kuwadhalilisha....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uwe na heshima unapotutolea matusi as if tumekutukana haipendezi.Halafu suala la kufungwa siyo kitu kigeni sana kwani hakuna timu ambayo haijafungwa.Unatuita mbwa, unatuita mbuzi hivi ni wapi umeona tumekutukana au kukutolea lugha chafu hadi uamue kufanya hivyo kama kutulipizia.
Kwa ufupi binafsi umenikera ila siwezi kukujibu kiudhalilishaji kama unavyotudhalilisha mashabiki wa arsenal. Timu ya liverpool imepitia wakati mgumu sana huko nyuma nafasi ya sita nk lakini hamkutukanwa.
Ifikie hatua jukwaa liheshimiwe hata kama unajua huwezi kufanywa chochote kwa matusi hayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
WASIRUDIE KABISA KUFANYA HUU UPUMBAVU.Don’t ever Compare Torreira to N’Golo Kante ever again. Ever.
Wewe kipigo chako tumekiifadhi.Nadhani huyu AROON alikuonya kuwa timu unayoishabikia dhidi ya Liverpool inaishia kupoteza Mchezo
Hapanà niliwapa dakika tisini tu. Na tatu/ nne za nyongeza.Wacha Kuwageuka Wenzako!
Si ulisema unawasapoti mwanzo mwisho?
Ilifika hatua wakamjaza TORROERA na kumfananisha na KANTE NGOLO ..hii ilikuwa ni dhambi kubwa sana wanaitenda bila wao kujua.Vipi mzee Wa TORREIRA na AUBA?
Naona Firmino kamgeuze Kondoo TORREIRA 😀 😀 anamlisha nyasi bila ya huruma 😀😀
Eti TORREIRA ni kiungo bora EPL !!!! Arsenal bhana 😀😀
Nadhani Firmino ameshawapa jibu kuwa TORREIRA is shit.
Unatakiwa usiwe na mawazo kama Haya tena.Man U tunazidi kupanda. Arsenal tunamchomoa pale tuanze kumtafuta chelsea sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe una lalamika nini Mkuu AARON alikwambia mapema hukutaka kumuelewaUnatakiwa usiwe na mawazo kama Haya tena.
Malizana kwanza na Bonamouth.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa na wewe ulitegemea Arsenal angemfunga Liverpool.?Wewe una lalamika nini Mkuu AARON alikwambia mapema hukutaka kumuelewa
Kumbe ulikuwa una waletea unafiki humu ulikuwa unajua kabisa Arsenal ni wazee wa kupigwa vipigo heavy weight katika big mechi ukawa unawasapoti kinafiki
Kocha bora kwako sio kwa wote. Usilazimishe mtazamo wako uwe mtazao wa mashabiki wote wa arsenal.Ameenda mfululizo game 22 hajapoteza hamkusema yupo sawa na wenger ila alipoanza kupata matokeo mabaya baada ya majeruhi kuwa wengi kawa mbaya. Acheni ulimbukeni kama hamuujui mpira kaeni kimya siyo kuweka dharau. Huyu ni kocha Bora arsenal.
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahKocha bora kwako sio kwa wote. Usilazimishe mtazamo wako uwe mtazao wa mashabiki wote wa arsenal.
Sasa unayemuona ni kocha bora kamlete mimi naangalia anachokifanya ktk mwanzo wake mbona vilabu vingi vimefukuza makocha na hao unaowaona wanafanya vizr wapo msimu wa pili na hizo timu.Kocha bora kwako sio kwa wote. Usilazimishe mtazamo wako uwe mtazao wa mashabiki wote wa arsenal.
Man city alikuwa vizuri sana lakini sasa hivi hali si nzuri. Ligi ya uingereza siyo ya ujerumani. Subiri wakati ukifika.Arsenal na Tottenham wamemkabidhi ndoo rasmi Liverpool.
tukutane mayNawakumbusha tu kuwa Manchester United leo anashinda nyingi na kufikisha Points 35 ambazo atahitaji Points 3 awapite nyinyi.
Nafasi Yenu Halisi ni ya 6