mkuu sikumaanisha samhaniMkuu kuwa na lugha yenye heshima kwa mashabiki wenzako hata kama wamepoteza game, kumfananisha binadamu mwenzako na mbwa ni kitendo cha udhalilishaji.
Mkuu usumlinganishe Firminho na vitu vya kijinga.Kuna watu humu nawambia emery haeleki wanabisha
Ozil sio fighter hata kidogo emery anampamba tu amuuze kwa hela nzur wanabisha
Nasemaga arsenal kikosi kinapagwa ovyo wachezaj hawaelewek yup wa muhimu
Lacazet ni wakula benchi kweli??????
Angalia liver walivo mfua firmihno kitambo na anapagwa kila siku
Unafikil mchezaj kufanya vizur ni rahis rahs tuu????
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Wenger alikuwa hivyoAmeenda mfululizo game 22 hajapoteza hamkusema yupo sawa na wenger ila alipoanza kupata matokeo mabaya baada ya majeruhi kuwa wengi kawa mbaya. Acheni ulimbukeni kama hamuujui mpira kaeni kimya siyo kuweka dharau. Huyu ni kocha Bora arsenal.
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha za kutisha.
Tazama
Eti ndo mkacheze uefa na kina mbappe kina Messi kina neymar
Si mnataka mkale10,20,30View attachment 980741
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kutokana kwamba marehemu alikua na mdomo sana tumeamua kumchoma tu moto kama wahindi wafanyavyoSamahan wakuu nilikuwa napita ila nikasikia sauti za vilio na maombelezo.
Naomba kuuliza, Je marehem atazikiwa hapa au wanasafirisha?
Umefunga mangapi?Hayo ni maoni yako ya kihisia tu.Timu ina majeruhi wengi beki that's why tunafunga lakini magoli yanarudi kwa kuwa ukuta ni mbovu. Tungekuwa na ukuta imara liverpool walikuwa wanafungika vizr tu. Ni matokeo tu
We are the GUNNERS forever.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umefunga mangapi?Hayo ni maoni yako ya kihisia tu.Timu ina majeruhi wengi beki that's why tunafunga lakini magoli yanarudi kwa kuwa ukuta ni mbovu. Tungekuwa na ukuta imara liverpool walikuwa wanafungika vizr tu. Ni matokeo tu
We are the GUNNERS forever.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kutokana kwamba marehemu alikua na mdomo sana tumeamua kumchoma tu moto kama wahindi wafanyavyo
Sent using Jamii Forums mobile app