Ngumu sana hawa jamaa labda narudia labdaMwezi huu hata droo moja hatujatoa, kwa hiyo huyu naye anaingia kwenye case hii.
Vile tu ni big game chochote linaweza tokea, lakini ukiangalia squad conditions, current form, Arsenal yuko as an underdog, it is not even close.
Acha maziea.
Arsenal anapigwa KO leoAcha maziea.
Acha mambo ya ajabu.
Arsenal anashinda au anatoa draw mechi ya leo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Football has three outcomes, arsenal left with one option 3 pointsView attachment 980625
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kisoka tunaita "solid squad" n kikos ambacho ata nyoka hapat upenyoAubameyang mbele.
Nyuma kuna Sokratis, Mustafi na Xhaka
Walinzi wa pembeni Lichsteiner kulia , Kolasinac beki wa kushoto.
Sehemu ya kiungo amewajaza Ramsey, Iwobi, Maitland-Niles, na Torreira.
Emery anajaribu kuchezesha man to man na hakutakuwa na mfumo wowote unaotambulika kila abiria achunge mzigo wake.
Aaron Ramsey atakuwa nyuma ya Aubameyang akimsaidia kumpa mipira.
COYGs!
Baada ya mechi uje hapa tuprove usikimbieAcha maziea.
Acha mambo ya ajabu.
Arsenal anashinda au anatoa draw mechi ya leo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hoja leo arsenal anapigwa wayaAisee kichapo kinahusika, maana Maitland niles wingback halafu na mgiriki sijui kawekwa cb loooooooooooooool
Kazi ipo leo, liverpool ameshinda hii game tukutane at full time muone kama nakosea huu utabiri