Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Niitaka kushangaa kwa Beki hio ya lipuli ipate clean sheet
 
Hii ni aibu sana mnashindwa ku- keep a clean sheet at home to Burnley ........what a joke
 
Guendouzi ni tatizo kubwa sana arsenal pale kati, dogo ni mzuri ila anapewa majukumu mazito sana kwenye ligi ngumu sana, huyu mtu bado hajapevuka kabisa na ligi kufikia kumpa majukumu mazito na ninashangaa sana baadhi ya watu wanaanza kutuaminisha arsenal haimuhitaji Ozil, Arsenal bado hawajapata mtu sahihi wa kuvaa viatu vya Ozil... tangu tuanze ligi backline yetu haikuwa nzuri na si tatizo la saivi ambalo linaonekana kisingizio kwa sasa hata kama beki zetu ni majeruhi... tatizo ni katikati tupo slow sana inafika muda wakina Aubameyang wanatangatanga mbele tu.
 
Sio kweli hii ni unai era sio Wenger era
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…