Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ozil hapo ni uchafu tuu wanampamba ili kukamilisha dili na PSG hakuna lingine.
Nasikitika kutokumuona mnyama Torreira
Ata torreira angekuwepo sub angekaa elnen
Broo sehemu kubwa ya mpira ni akili, ndio maana Africa kila siku tunacheza makilikili tu
Utanielewa baada ya dakika 90
 
kwahiyo mchezaji akishangilia sana anapokuwa amefunga maana yake alikuwa anaisaka suluhu?duh hizi tafsiri zako kali sana kwahiyo shaqir alivyofunga dhidi ya man u alivyoshangilia sana ilik uwaje mkuu?ila sawa takwimu uliziangalia after match lakini? hivi umiliki wa mpira wa 60's dhidi ya 30's hapo nani anakuwa kaelemewa? soka halinaga unafki ukileta unafki unaumbuliwa na statistics........

siku ile mliomba mpira uishe
 
Du mwaka 90?au nimeona vibaya ndo mwisho kuchukua?
 
Ww
Unaelewa ila unakaza ubongo tu

Bas subir 29december
Msumari ambao soton aliuzamisha haukuwaingia vzr ndio maana hamjajinyonga mpk ss

Liver anakuja kuupigilia vzr ukuingieni vzr

pambaneni na banley kwanza afuu tutaongea
 
y
Du mwaka 90?au nimeona vibaya ndo mwisho kuchukua?
yah upo sahihi mkuu ulikuwa ni msimu wa 1989/1990 sijui ni karne ya ngapi huko ila ni ile ya vita kuu ya dunia alafu wanakuja hapa kupiga kelele na tuliopiga unbeaten katika karne hii tuliyopo hahahahaha ni vichekesho hivi
 
usha
Ww
Unaelewa ila unakaza ubongo tu

Bas subir 29december
Msumari ambao soton aliuzamisha haukuwaingia vzr ndio maana hamjajinyonga mpk ss

Liver anakuja kuupigilia vzr ukuingieni vzr

pambaneni na banley kwanza afuu tutaongea
kimbilia kwa soton tena hahahahahahahaha kwakuwa wewe ulichemka nlikupigisha kwata ukalala na maviatu pamoja mama sara wako hahahahahaha COYG
 
Oooh kikikuuliza wilshere alikua akicheza namba ngapi arsenal unaweza kuniambia???

Ozil kacheza namba ya iwob nikuulize? Anachokifanya iwobi ni sawa na Ozil???

Ndo maana na mfumo leo umebadilika.
Ata torreira angekuwepo sub angekaa elnen
Broo sehemu kubwa ya mpira ni akili, ndio maana Africa kila siku tunacheza makilikili tu
Utanielewa baada ya dakika 90
 
Aubaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

1 up
 
y

yah upo sahihi mkuu ulikuwa ni msimu wa 1989/1990 sijui ni karne ya ngapi huko ila ni ile ya vita kuu ya dunia alafu wanakuja hapa kupiga kelele na tuliopiga unbeaten katika karne hii tuliyopo hahahahaha ni vichekesho hivi
Hahaha yaani timu yao nzima ya liverpool ya sasa hivi wakati huo hakuna aliyekuwa amezaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…