STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,601
Chama langu Bournemouth leo naamini halitaniangusha
Kwa akili yako ya 'ki-Wenger' ulijua utamtoa Spurs. Wonders shall never end. [emoji1787]Tutatoka tu game ni ngumu majeruhi wengi hivyo wachezaji wanapangwa tu ili mradi kila sehemu iwe na mchezaji. Sasa kwa style hiyo ni ngumu kushinda pale nyuma ni sehemu ya tatizo mfano viungo kwa sasa ndo mabeki kama xchaka anapiga beki ya kushoto.
Tuombe majeruhi wapone.
We are the GUNNERS forever.
You mean hafungiki au vip.Kwa akili yako ya 'ki-Wenger' ulijua utamtoa Spurs. Wonders shall never end. [emoji1787]
Anafungwa lakini kwa kiwango cha sasa sio wakufungwa na wachezaji jamii ya Magazeti,Andazi,Toroli et al.You mean hafungiki au vip.