Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Baada ya hizo game mbili ndo hajafungwa tena na wala haimaanishi unbeaten tokea msimu uanze
Basi muwe mnafafanua, unbeaten since when!
Maana ukisema tu unbeaten ukakaa kimya inajulikana ni toka mwanzo wa ligi, na tunajua ni timu moja tu ambayo ni unbeaten.
Sawa Mkuu
Hiyo unbeaten ya Arsenal ni kwenye mashindano yote anayoshiriki
Unbeaten in 22 matches sasa hujaelewa nini?Hahaha, bado ufafanuzi unatakiwa either iwe ukiacha EPL au ukiondoa mechi 2 za mwanzo.
Hahaha, bado ufafanuzi unatakiwa either iwe ukiacha EPL au ukiondoa mechi 2 za mwanzo.
Huyo ambaye hajaguswa, bikra yake mwaka huu kabla haujaisha itatolewa!Basi muwe mnafafanua, unbeaten since when!
Maana ukisema tu unbeaten ukakaa kimya inajulikana ni toka mwanzo wa ligi, na tunajua ni timu moja tu ambayo ni unbeaten.
Unbeaten in 22 matches sasa hujaelewa nini?
Hapo sawa MkuuKwani kwenye quotation zetu umeiona hiyo 22 matches?
Huo ndo ufafanuzi wenyewe sasa, siyo mnajiita unbeaten bila kufafanua.
Good mechi itakuwa sawa sasaOzil IN
Iwobi OUT
Dk 69
2-2
Huyo ambaye hajaguswa, bikra yake mwaka huu kabla haujaisha itatolewa!
Nani wa kuifanya hiyo kazi?
Man City tunakutana naye 2019, huyo ndo mwenye hiyo hadhi angalau.
[emoji23] [emoji23]Duh!!angalau ni offside
Hawa Soton wanakuja
Leo na Man U