jombaa askari
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 494
- 531
Uko sahihi. Wamefululiza mechi 3 ngumu uchovu pia.Point 3 muhimu ingawa leo vijana hawani~impress kabisa[emoji23]
Huyo dogo ameleta kitu adimu ndani ya Goooonerusimuite lucas torreira muite Man of the Match
Mkuu najua upo na furaha sana, lakin hiki kingereza hakipoTorreira is not only good in the tackling but scoring too
Ndio uzuri wa kuwa na watu wenye vipaji kama huyu ni burudani tosha.Vitu vya x-mass na mwaka mpya ila uyu mhuni ameamua kuvitupia mapema.
View attachment 960756
Kweli eah mwalimu?Mkuu najua upo na furaha sana, lakin hiki kingereza hakipo
Tufurahie ushindiKweli eah mwalimu?
Napenda kusahihishwa ili nisikosee tena. Palikuwa na kosa gani ktk lugha ya mkoloni? Naomba msahihisho.Tufurahie ushindi
Napenda kusahihishwa ili nisikosee tena. Palikuwa na kosa gani ktk lugha ya mkoloni? Naomba msahihisho.
Leo kafungwa spidi gavana na chelseaMan city kapigwa leo.