Lacazette angeanza ili Iwobi aingie subHapana mkuu.
Granit Xhaka ndo anakosa mechi ya leo anatumikia adhabu ya kukosa mechi moja kwa kupokea kadi 5 za njono.
Hivyo basi, Matteo Guendouzi anaanza mechi na atakuwa pale katikati akishirikiana na Lucas Torreira.
Habari ni kwamba timu iloanza na Tottenham ndo itakayoanza leo ukiondoa Guendouzi.
Yaani nyuma Kipa ni Leno na mabeki watatu wa kati, Robert Holding, Mustafi na Sokratis
Mabeki wa pembeni ni Kolasinac na Bellerin
Katikati ni Guendouzi na Torreira
Mbele kati ni Alex Iwobi na Mkhitaryan
Na mshambuliaji ni Aubameyang.
Mtindo ni 3-4-2-1
Tungoje list kamili itakapothibitishwa.
Bila kuwasahau na barca mkuu wametutesa sana hawa watuNaomba niirudie hii Man U,Liva na B.Munich ni timu ambazo natamani sana tuzibutue kila tukikutana nazo na hii inatokana na jinsi wanavyo tu-outclass tukikutana nao hata kama tukiwa na timu bora vipi tunakua dhaifu kwao.
Record yetu na Man U ni mbaya zaidi wameshinda mara 24,draws 15 na sisi tumeshinda mara 13 tu kwenye ligi(head to head) wakiwa na idadi kubwa ya magoli ya kufunga kuliko sisi na mara nyingi wametupiga tukiwa kwenye ubora wetu na mara ya mwisho kupata matokeo pale OT ni 2006(EPL) natamani leo tuachane na huu mzimu,binafsi nitaangalia hii game nikiwa sina amani kabisa.
Najua mnaweza kabisa kumkalisha leo huyu shetaniNaomba niirudie hii Man U,Liva na B.Munich ni timu ambazo natamani sana tuzibutue kila tukikutana nazo na hii inatokana na jinsi wanavyo tu-outclass tukikutana nao hata kama tukiwa na timu bora vipi tunakua dhaifu kwao.
Record yetu na Man U ni mbaya zaidi wameshinda mara 24,draws 15 na sisi tumeshinda mara 13 tu kwenye ligi(head to head) wakiwa na idadi kubwa ya magoli ya kufunga kuliko sisi na mara nyingi wametupiga tukiwa kwenye ubora wetu na mara ya mwisho kupata matokeo pale OT ni 2006(EPL) natamani leo tuachane na huu mzimu,binafsi nitaangalia hii game nikiwa sina amani kabisa.
Dakk ya 26 not 27.Man U 0-1 Arsenal
Mustafi...️
Dakika ya 27
Dakk ya 26 not 27.